Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✌️😀👆👆👆Sad news ni kwamba inahitajika uwe huna hata mawazo kidogo ili bos kubwa akupeleke mchakamchaka vizuri.
ohh safi sana mkuu..wasalimie ngende😆Mashukaaaa. Anhaa nilikuacha pale dukani wale ndo wenyewe mm nauzaga zile pzia za mchina za Mita mbili..
Au sio?ohh safi sana mkuu..wasalimie ngende😆
Kuna mashuka ya mitumba sahivi mazuri alafu uhakika. Meupe yanafika kibao. Kama unataka ya biashara nikupelekeohh safi sana mkuu..wasalimie ngende😆
niko kwa group yako..au hujayapost mle..me siwez biashara ya mashuka..ntayachukua yote mazuri😤Kuna mashuka ya mitumba sahivi mazuri alafu uhakika. Meupe yanafika kibao. Kama unataka ya biashara nikupeleke
Aisee😀Sio uongo na wala unachoandika sio utani.
Nilipata vijana hapa Dar kipindi cha nyuma kabla sijawajengea hapo nilipanga chumba kijijini hapo nikawawekea vitu vya kula.
Mchele, unga, viungo (nyanya, karoti, kitunguu), dagaaa...
Siku moja nikapiga simu nikawauliza mko wapi? Wakasema wapo nyumbani, Leo hamjaenda kazini? Wakasema hawajaenda (wana njaa).. kwanini? Chakula mboga karoti zimeisha kuna nyanya na kitunguu tu hatujapika..
Nikagomba pale ikaisha, Siku ingine wakaniletea Kubwa KULIKO wamechoka UGALI na WALI wamekinai wanaomba Hela wanunue Ndizi labda au vyakula vingine.
KESHO yake wote walikuwa wanawasiliana kwenye simu, Mmoja akiwa anaelekea MBEYA kwao mwingine MBAGALA huko...
Siku zote ukitaka kumchukulia mtu kama mtumwa,utahangaika. Mfano wa msaidizi wa kazi za ndani. Ukimnunulia nguo unaponunulia wanao,lotion au mahitaji yake mara moja moja, atakaa. Lakini yeye awe ndo wa kula viporo,TV yako haruhusiwi kuangalia, mara nyumba kubwa marufuku kukanyaga kama si wakati wa usafi,kuna mimama mingine wakipika nyama ndo inaingia jikoni yenyewe,na haimpi nyama hiyo,atakaa?Sio uongo na wala unachoandika sio utani.
Nilipata vijana hapa Dar kipindi cha nyuma kabla sijawajengea hapo nilipanga chumba kijijini hapo nikawawekea vitu vya kula.
Mchele, unga, viungo (nyanya, karoti, kitunguu), dagaaa...
Siku moja nikapiga simu nikawauliza mko wapi? Wakasema wapo nyumbani, Leo hamjaenda kazini? Wakasema hawajaenda (wana njaa).. kwanini? Chakula mboga karoti zimeisha kuna nyanya na kitunguu tu hatujapika..
Nikagomba pale ikaisha, Siku ingine wakaniletea Kubwa KULIKO wamechoka UGALI na WALI wamekinai wanaomba Hela wanunue Ndizi labda au vyakula vingine.
KESHO yake wote walikuwa wanawasiliana kwenye simu, Mmoja akiwa anaelekea MBEYA kwao mwingine MBAGALA huko...
Kama haujpata mtu nipo hapa nahitaji naomba nicheki kwa 0683850450 nipo seriousMi ntajuaje sasa? Ni wewe ulionyesha kuitaka kazi
Mkuu umechanganya. Sio mimi ninaye tafutaKama haujpata mtu nipo hapa nahitaji naomba nicheki kwa 0683850450 nipo serious
OkMkuu umechanganya. Sio mimi ninaye tafuta
Sorry
Tokea Nov 14 mpka Leo inawezekana ikawa ameshampata mtu🤔Kama bado haujapata mtu me nahitaji aisee 0683850450
Umepata?Shamba lipo hapo Wilaya ya Kisarawe. Majukumu ya kijana ni kuweka mazingira sawa, kulima na kuhakikisha majani hayaoto kwenye shamba husika.
Shamba ni la heka 2, halijapandwa zao lolote lina majani. Kuna nyumba katikati ya shamba ambayo ndio makazi ya kijana husika.
Nyumba imekamilika inayofaa kuishi binadamu aliekamilika.
Chakula: Juu yangu muajiri
Mshahara: Makubaliano
View attachment 2813408View attachment 2813408
Picha hapo Juu ni nyumba iliyo Shamba.
Nimeipiga picha nikiwa shamba/kiwanja cha jirani ambae yeye tayari kwake ni kusafi. Ukiangalia hiyo picha kuna eneo halina majani hapa mwanzo, hiki ni kiwanja/shamba cha mtu mwingine yeye kashajenga shamba lake safi kiwanja kimenyooka kama Azam Complex.
Na Kijana ninae mtaka ndio nataka aondoe ile nyumba kutoka kati kati ya majani alime kote kipatikane kiwanja kisicho na majani Nyumba ikae hapo kati. Jukumu kubwa ni hilo usafi wa kiwanja muda wote jani lisiote hata 1.
NOTE: Akitokea mtu na familia yake anataka kukaa huku anakaribishwa, mshahara tutakubaliana, chakula juu yangu muajiri. Ruksa ukitaka kulima, ruksa ukitaka kufuga, ruksa kufanya chochote.
Muhitaji alie serious tu karibu inbox.
Naomba hiyo nafasi kaka 0655989284Shamba lipo hapo Wilaya ya Kisarawe. Majukumu ya kijana ni kuweka mazingira sawa, kulima na kuhakikisha majani hayaoto kwenye shamba husika.
Shamba ni la heka 2, halijapandwa zao lolote lina majani. Kuna nyumba katikati ya shamba ambayo ndio makazi ya kijana husika.
Nyumba imekamilika inayofaa kuishi binadamu aliekamilika.
Chakula: Juu yangu muajiri
Mshahara: Makubaliano
View attachment 2813408View attachment 2813408
Picha hapo Juu ni nyumba iliyo Shamba.
Nimeipiga picha nikiwa shamba/kiwanja cha jirani ambae yeye tayari kwake ni kusafi. Ukiangalia hiyo picha kuna eneo halina majani hapa mwanzo, hiki ni kiwanja/shamba cha mtu mwingine yeye kashajenga shamba lake safi kiwanja kimenyooka kama Azam Complex.
Na Kijana ninae mtaka ndio nataka aondoe ile nyumba kutoka kati kati ya majani alime kote kipatikane kiwanja kisicho na majani Nyumba ikae hapo kati. Jukumu kubwa ni hilo usafi wa kiwanja muda wote jani lisiote hata 1.
NOTE: Akitokea mtu na familia yake anataka kukaa huku anakaribishwa, mshahara tutakubaliana, chakula juu yangu muajiri. Ruksa ukitaka kulima, ruksa ukitaka kufuga, ruksa kufanya chochote.
Muhitaji alie serious tu karibu inbox.
DahSio uongo na wala unachoandika sio utani.