Anthony horowitz
JF-Expert Member
- May 4, 2024
- 421
- 1,042
Kwanza... kulazimisha mapenzi ni kuto kujitendea haki wewe mwenyewe.hakuna mapenzi ya kweli siku hizi ukitaka kuforce uneshe mapenzi ya kweli unaonekana msumbufu tena kama huna pesa ndio kabisaa ...hutoboi
inabidi tujue hii generation inataka nini twende nayo hivyo hivyo
bazokwazi bonaKudadadeqi zao wakiamka watakutana nayo...
π Acha utapeli mzee ni heri pesa iendeshe tu moyo wangu! Nikikosa hela nitahadhirika zaidi umaskini sio mzuri nyie!
Hapo kwenye kuwachambaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siondoki hadi kieleweke mkuu....
Na leo ntawachamba hadi wanielewe...[emoji1787]