Kimasikhara
Member
- Feb 9, 2021
- 27
- 151
Ni balaa na nusu ni lazima tukubaliane na hali sisi kwa sisi tupeane moyo hasa vijana wa kiume tunapitia mengi sana. Kuna wana wengi wamekata tamaa wengine washakua walevi kupindukia na wengine wanajiua kabisa.Mfumo wa elimu mbovu,mda mwingi unasoma unakuja kumaliza chuo 29yrs kazi huna .
Yule aliyeacha shule drs5 ndo anakupa hela ya k vant ,na anakula pisi kali kitaa.sasa ndo uombe ayo makaratasi yanayoitwa degree yawe hela.so sad mkuu
Ni kweli majukumu ni kipimo tosha cha ukomavu wa akili yanakupa ari, ingawa kwa wengine ndio yanawanyong'onyeza kabisaPole sana ila kwa style ya maisha yalivyo unatakiwa kuwa na option kadhaaa, Oa mtie mimba upate mtoto, yaani kila siku ukimuangalia dogo unapata nguvu ya kwenda kutafuta, unajikuta MUNGU nae anakufungulia milango ya baraka hadi unashangaa. Ndoa zinakuaga na baraka flani au niseme watoto wanakuaga na baraka zao, kwa imani yangu na kwa ushuhuda wangu.
Upande wa pili, tafuta mchumba, demu yoyote kicheche balaa, mpenda pesa kuliko hata delila, yaani akusumbue mwanzo mwisho, akili itakukaa sawa tu, utafanya kila kazi ilmardi upate pesa ya kumpa then you know what? kwa kupitia hili YOU WILL FIND YOUR STRENGHT
AmenPray n pray!
Hahaha sawa Mkuu....Halafu mkuu tuachie timu yetu
Umasikini ni jambo la kuliogopa zaidi ya woga wenyeweWewe na Mimi tuko kwenye ukurasa sawa ila hapo kwenye kuchagua cha kukupa furaha usingeingiza ushabiki wa timu unayopenda
Cha kuongezea ni kwamba maisha ni mapambano halisi yaani kama Vita tu ukibweteka tu adui (ufukara) ushakutia kitanzi
Kabisa kakaPambana man ..maisha yako ni wajibu wako
Mwaka Jana ,nlikuw likizo flan nikasema acha nikachek kaburi la msela wangu wa damu Mana sikuwepo sabab ya majukumu makubwa yaliyonikabili.Ni balaa na nusu ni lazima tukubaliane na hali sisi kwa sisi tupeane moyo hasa vijana wa kiume tunapitia mengi sana. Kuna wana wengi wamekata tamaa wengine washakua walevi kupindukia na wengine wanajiua kabisa.
Kwa ground changamoto ni nyingi sanaMwaka Jana ,nlikuw likizo flan nikasema acha nikachek kaburi la msela wangu wa damu Mana sikuwepo sabab ya majukumu makubwa yaliyonikabili.
Tumesafisha ,mdogo mtu ananiambia bro ayo makaburi mawili mapya ni vijana.mmoja kajinyonga sababu ka graduate 3yrs yupo home familia yake inamuandama kuwa mzigo.Msela siku karudi night yupo nyagi za kutosha ,kajipiga na vidonge Kisha kajipiga kitanzi.
Na wa pili kasema alipiga pombe kali na kunywa dawa kali, sababu ni zilezile
Ni hatari Sana wandugu ,maisha yanachangamoto hasa.walioyapata acha wale Bata hamna namna
Maisha ya kingese sana.Mwaka Jana ,nlikuw likizo flan nikasema acha nikachek kaburi la msela wangu wa damu Mana sikuwepo sabab ya majukumu makubwa yaliyonikabili.
Tumesafisha ,mdogo mtu ananiambia bro ayo makaburi mawili mapya ni vijana.mmoja kajinyonga sababu ka graduate 3yrs yupo home familia yake inamuandama kuwa mzigo.Msela siku karudi night yupo nyagi za kutosha ,kajipiga na vidonge Kisha kajipiga kitanzi.
Na wa pili kasema alipiga pombe kali na kunywa dawa kali, sababu ni zilezile
Ni hatari Sana wandugu ,maisha yanachangamoto hasa.walioyapata acha wale Bata hamna namna