Kijana wa miaka 29 sina kazi, sina mpenzi ila ninaishi

Kijana mwenzangu kama title thread ilivyo jinsia ni mwanaume 29 years old, Graduate. Sina kazi rasmi zaidi ya mishe za hapa na pale, wala sina mpenzi ni jukumu ambalo siwezi kulimudu kwa sasa.

Ratiba yangu kwa siku nikuamka na kushukuru Mungu kwa uhai, kwenda kuzurura huko duniani angalau nipate vocha na kula, usiku narudi nyumbani, mzunguko unajirudia.

Kwa kijana mwenzangu ambae upo kama mimi najua mshale umesogea na mishe hazijakaa poa inauma sana, ila ngoja nikuambie kitu "You are never late in success, although kama ukifanikiwa mapema ni bora zaidi". Jua kitu gani cha kukupa furaha mfano mpira (Kama ni shabiki wa Yanga na Arsenal pole). Kama ikiwezekana achana na issue za mahusiano hii itakupunguzia unnecessary stress. Hitimisho usijione na failure wala kuwaza kujiua haupo pekee katika hii hali tupo wengi sana.

"Tobo lipo mbali ila amini utaona mwanga"​
Kwanini arsenal mkuu
 
Kiukweli graduator wengi wanapitia pagumu na ugumu ambao haulezeki yaani kila siku afadhali ya jana ,ila endapo una lengo la kutafuta nenda mbali na mkoa ndo utapata ujasiri wa kutafuta, kuliko ukae nyumbani huku unatafuta kuna wale majirani na marafiki ndo maadui zako ndo watakuwa wanakuongelea wanavyotaka sasa graduator wengi wanakatishwa tamaa na hao wa2
 
Kijana mwenzangu kama title thread ilivyo jinsia ni mwanaume 29 years old, Graduate. Sina kazi rasmi zaidi ya mishe za hapa na pale, wala sina mpenzi ni jukumu ambalo siwezi kulimudu kwa sasa.

Ratiba yangu kwa siku nikuamka na kushukuru Mungu kwa uhai, kwenda kuzurura huko duniani angalau nipate vocha na kula, usiku narudi nyumbani, mzunguko unajirudia.

Kwa kijana mwenzangu ambae upo kama mimi najua mshale umesogea na mishe hazijakaa poa inauma sana, ila ngoja nikuambie kitu "You are never late in success, although kama ukifanikiwa mapema ni bora zaidi". Jua kitu gani cha kukupa furaha mfano mpira (Kama ni shabiki wa Yanga na Arsenal pole). Kama ikiwezekana achana na issue za mahusiano hii itakupunguzia unnecessary stress. Hitimisho usijione na failure wala kuwaza kujiua haupo pekee katika hii hali tupo wengi sana.

"Tobo lipo mbali ila amini utaona mwanga"​
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]kwa hiyo muda huo wote upo tu kitaa baada ya kumaliza chuo,unashidwa hata kutafuta fundi uashi ukawa msaidizi wake wa kazi(kibarua) huku akikufundisha jinsi ya kujenga nyumba ili nawe upate ujuzi ndani ya muda mfupi ili uwe unajiingizia kipato,Huku ukisubilia siku ukipata ajira serikalini uachane na hiyo kazi uende huko

Tutalaumu Sana lakini bila kujisaidia na kujishughulisha wenyewe tutashindwa hata kuoa na hata hela kidogo home wakikwama tutashindwa kuwasaidi

TUJIONGEZE

KUMBUKA HATA NIKK WA PILI ALIKUA MSANII WA MZIKI LAKINI ALIKUA NA ELIMU(SHAHADA MBILI (MASTERS)) SASA IVI KAPATA UKUU WA WILAYA.....TUPAMBANE TUACHE LAWAMA MWISHO UWE MZURI
 
Ulichosema kuhusu Nik wa pili ni sawa Ila yule msomi alafu ni msanii katengeneza jina tayari, alafu mwanachama wa ccm, kadi anayo ya uamachama yule kupewa madaraka njia ilikuwepo.
 
Yani ninachozungumzia baada ya kuhitimu masomo yake (graduates) je aliajiriwa au alijiajiri mwenyewe kwenye muziki? Jibu Ni alijiajiri kwenye mziki

Kwa kadi ya chama kila mtu(au yeyote ) anaweza kupata hiyo kadi ya ccm .

Kwa hiyo lazima wahitimu (graduates) kujiongeza kwa kutafuta kazi za kufanya na Kama huna Kipaji Cha Mpira au mziki unaweza kujifunza fani ili kupata ujuzi mbalimbali zinazoweza kukuingizia kipato au fedha
Huku ukisubilia Mambo yako yakae sawa.

Mfano tu sio NIKK pia Kuna wakina Mwana FA na Fred Funja Bei na wengine wengi tu
 
Mfumo wa elimu mbovu,mda mwingi unasoma unakuja kumaliza chuo 29yrs kazi huna .
Yule aliyeacha shule drs5 ndo anakupa hela ya k vant ,na anakula pisi kali kitaa.sasa ndo uombe ayo makaratasi yanayoitwa degree yawe hela.so sad mkuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom