Kimasikhara
Member
- Feb 9, 2021
- 27
- 151
- Thread starter
- #41
Never give up Bropole sana mkuu, umegusa maisha yangu kabisaaaaaa
Never give up Bropole sana mkuu, umegusa maisha yangu kabisaaaaaa
Kipindi cha Mwendazake vijana wamejinyonga sana sanaMwaka Jana ,nlikuw likizo flan nikasema acha nikachek kaburi la msela wangu wa damu Mana sikuwepo sabab ya majukumu makubwa yaliyonikabili.
Tumesafisha ,mdogo mtu ananiambia bro ayo makaburi mawili mapya ni vijana.mmoja kajinyonga sababu ka graduate 3yrs yupo home familia yake inamuandama kuwa mzigo.Msela siku karudi night yupo nyagi za kutosha ,kajipiga na vidonge Kisha kajipiga kitanzi.
Na wa pili kasema alipiga pombe kali na kunywa dawa kali, sababu ni zilezile
Ni hatari Sana wandugu ,maisha yanachangamoto hasa.walioyapata acha wale Bata hamna namna
Wazazi wa mwendokasi hao...anaona kama unamtia aibuu hivi daah [emoji848][emoji22]Maisha ya kingese sana.
Mm mwenyewe michongo nyakat fulani zimekataa nikarudisha mpira kwa kipa.
Mzee ananisema kitaa lile jamaa halina akili lipolipo tu nyumbani.
Nikafikiria huyu mzee hajui ground pako vipi yy aliotea kiajira chake cha serikali anavimba.
Nikajitakaa home na kukata home,nipo mtaa napambamnana ila life has been much worse.
Mbona hao jama walioishia darasa la 5 na wanaweza kumpiga taff graduate siwaoni huku mtaani kwetu...Mi huku naona hata walioishia darasa la tatu B wanahangaika na kupambana kama ambavyo graduates wengi wanapambana..kiufupi maisha ni magumu kote kote..haijalishi umesoma hadi level gani au uliishia chekechea....Mfumo wa elimu mbovu,mda mwingi unasoma unakuja kumaliza chuo 29yrs kazi huna .
Yule aliyeacha shule drs5 ndo anakupa hela ya k vant ,na anakula pisi kali kitaa.sasa ndo uombe ayo makaratasi yanayoitwa degree yawe hela.so sad mkuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Nyie wenye mpango wa kujiua acheni kabisa, mnataka muondoke halafu hizi shida mumwachie nani?
Usikubali kutafuta ridhiki sehemu uliyokulia!ila watu walio pata wanafikiri kila mtu atafanikiwa kwa njia aliyopita yy.
nakumbuka jamaa yangu mmoja anakwambia dogo kuku wanalipia ukianza na watano tu nikawa nawaza ss tuko kweny nyumba za kupanga uswahilini unafuga wapi ukiforce kwa eneo ulipo utakua umewapa watu kitoweo
unajitoa kweny vikazi vidogo hela unayopata nauli na kula mchana imeisha hapo bado haujaumwa unatakiwa uende hospital
unasema ukatafute ata pikipiki hamna boss anakuamini akupe chombo
kikubwa ni kua na jamii hasi sio wazazi hadi majirani ndio sababu watu wanajinyonga
vijana wanapitia mengi sn alafu unakuta mtu ana generalaz et vijana ni wavivu na wanaaibu
kubwa sio kukata tamaa na kingine utafutaji kwa sehemu uliyo zaliwa na kukuliwa kunachangamoto sn jamii inakua hasi sn bora kutoka kwenda sehemu nying ukaanze upya kwakwel.
Siyo utani mkuu...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
We acha mautani wee, kwa vitu serious
Mimi nimeoa na Nina watoto wakubwa kwahio nashauri kutokana na experience. Hakuna siku hata moja maisha yatakua na nafuu, kila siku ni heri ya Jana. Trust meMkuu halafu huyo dada ahudumiwe na nan,mtoto alelewe kwa msaada wa nan? Nafikiri mtoa mada yupo sahihi,chamsingi ni kuendelea kupambana kadiri ya uwezo wake,na swala la mahusiano lina nafasi kubwa ya kuamua uwe na furaha au huzuni,vijana tunashauriwa kujipanga kwanza yani tuhakikishe tupo imara kiuchumi na kiroho ili kuwa vichwa bora wa familia,na swala la uchumi sio mpaka awe tajiri ila uhakika wa mahtaj ya msingi
kweli chaajabu ni wale uliowaacha wamefeli kwa ss wanamaisha na familia wanajiona wametoboa.Usikubali kutafuta ridhiki sehemu uliyokulia!
Frustrations zake si za kitoto
Wa darasa la tano huwa wanafanya maamuzi ya kutafuta pesa mapema.Mbona hao jama walioishia darasa la 5 na wanaweza kumpiga taff graduate siwaoni huku mtaani kwetu...Mi huku naona hata walioishia darasa la tatu B wanahangaika na kupambana kama ambavyo graduates wengi wanapambana..kiufupi maisha ni magumu kote kote..haijalishi umesoma hadi level gani au uliishia chekechea....
[emoji15][emoji15][emoji15]Mfumo wa elimu mbovu,mda mwingi unasoma unakuja kumaliza chuo 29yrs kazi huna .
Yule aliyeacha shule drs5 ndo anakupa hela ya k vant ,na anakula pisi kali kitaa.sasa ndo uombe ayo makaratasi yanayoitwa degree yawe hela.so sad mkuu
[emoji81][emoji81][emoji81]Pole sana ila kwa style ya maisha yalivyo unatakiwa kuwa na option kadhaaa, Oa mtie mimba upate mtoto, yaani kila siku ukimuangalia dogo unapata nguvu ya kwenda kutafuta, unajikuta MUNGU nae anakufungulia milango ya baraka hadi unashangaa. Ndoa zinakuaga na baraka flani au niseme watoto wanakuaga na baraka zao, kwa imani yangu na kwa ushuhuda wangu.
Upande wa pili, tafuta mchumba, demu yoyote kicheche balaa, mpenda pesa kuliko hata delila, yaani akusumbue mwanzo mwisho, akili itakukaa sawa tu, utafanya kila kazi ilmardi upate pesa ya kumpa then you know what? kwa kupitia hili YOU WILL FIND YOUR STRENGHT
Utoboe maisha katika umri wa miaka 60+ ili iweje sasa?! Ukifika 50+ maisha hayasomeki then hapo ikibidi vamia benki tu.... Uspend miaka iliyobakia kama mtuhumiwa anae tafutwa na polisi.....Kama ipo ipo tu jamaa wa KFC katoboa maisha akiwa na miaka 62 wewe ni nani unalalamika ata nusu ya miaka hujafika.
Siwezi nikakubishia mkuu maana sijaoa wala sina mtoto,na ni kweli kuwa hakuna siku moyo wa mtu utardhka kuwa sasa inatosha,ila naona itafaa atafute watoto akiwa amewaandalia mazingira mazuriMimi nimeoa na Nina watoto wakubwa kwahio nashauri kutokana na experience. Hakuna siku hata moja maisha yatakua na nafuu, kila siku ni heri ya Jana. Trust me
Sahihi,na chanzo kikubwa cha wivu ni kujilinganishaWengi tunaumizwa na maisha ya wengne, tunapenda kujilinganisha na watu tuliokuwa tukiwaona wenda kulisoma nao ama tumekuwa nao, ile pressure tunayoipata kutokana na kufanikiwa kwao ndio unatukatisha tamaa hasa pale mzaz anapo kulinganisha nae
Mkuu kikubwa uhai mi mwenyewe na mtoto hapa ni shida tupu.Ila i take it as motivational to husle more..Kijana mwenzangu kama title thread ilivyo jinsia ni mwanaume 29 years old, Graduate. Sina kazi rasmi zaidi ya mishe za hapa na pale, wala sina mpenzi ni jukumu ambalo siwezi kulimudu kwa sasa.
Ratiba yangu kwa siku nikuamka na kushukuru Mungu kwa uhai, kwenda kuzurura huko duniani angalau nipate vocha na kula, usiku narudi nyumbani, mzunguko unajirudia.
Kwa kijana mwenzangu ambae upo kama mimi najua mshale umesogea na mishe hazijakaa poa inauma sana, ila ngoja nikuambie kitu "You are never late in success, although kama ukifanikiwa mapema ni bora zaidi". Jua kitu gani cha kukupa furaha mfano mpira (Kama ni shabiki wa Yanga na Arsenal pole). Kama ikiwezekana achana na issue za mahusiano hii itakupunguzia unnecessary stress. Hitimisho usijione na failure wala kuwaza kujiua haupo pekee katika hii hali tupo wengi sana.
"Tobo lipo mbali ila amini utaona mwanga"
Afanye kaziPray n pray!
Na hapo kati usiombe ukampatia moyo demu poyoyo utajuta kuyajua mapenzi.Kijana mwenzangu kama title thread ilivyo jinsia ni mwanaume 29 years old, Graduate. Sina kazi rasmi zaidi ya mishe za hapa na pale, wala sina mpenzi ni jukumu ambalo siwezi kulimudu kwa sasa.
Ratiba yangu kwa siku nikuamka na kushukuru Mungu kwa uhai, kwenda kuzurura huko duniani angalau nipate vocha na kula, usiku narudi nyumbani, mzunguko unajirudia.
Kwa kijana mwenzangu ambae upo kama mimi najua mshale umesogea na mishe hazijakaa poa inauma sana, ila ngoja nikuambie kitu "You are never late in success, although kama ukifanikiwa mapema ni bora zaidi". Jua kitu gani cha kukupa furaha mfano mpira (Kama ni shabiki wa Yanga na Arsenal pole). Kama ikiwezekana achana na issue za mahusiano hii itakupunguzia unnecessary stress. Hitimisho usijione na failure wala kuwaza kujiua haupo pekee katika hii hali tupo wengi sana.
"Tobo lipo mbali ila amini utaona mwanga"