Pole sana ila kwa style ya maisha yalivyo unatakiwa kuwa na option kadhaaa, Oa mtie mimba upate mtoto, yaani kila siku ukimuangalia dogo unapata nguvu ya kwenda kutafuta, unajikuta MUNGU nae anakufungulia milango ya baraka hadi unashangaa. Ndoa zinakuaga na baraka flani au niseme watoto wanakuaga na baraka zao, kwa imani yangu na kwa ushuhuda wangu.
Upande wa pili, tafuta mchumba, demu yoyote kicheche balaa, mpenda pesa kuliko hata delila, yaani akusumbue mwanzo mwisho, akili itakukaa sawa tu, utafanya kila kazi ilmardi upate pesa ya kumpa then you know what? kwa kupitia hili YOU WILL FIND YOUR STRENGHT