Kijana wa miaka 29 sina kazi, sina mpenzi ila ninaishi

Kipindi cha Mwendazake vijana wamejinyonga sana sana
 
Wazazi wa mwendokasi hao...anaona kama unamtia aibuu hivi daah [emoji848][emoji22]
 
Mfumo wa elimu mbovu,mda mwingi unasoma unakuja kumaliza chuo 29yrs kazi huna .
Yule aliyeacha shule drs5 ndo anakupa hela ya k vant ,na anakula pisi kali kitaa.sasa ndo uombe ayo makaratasi yanayoitwa degree yawe hela.so sad mkuu
Mbona hao jama walioishia darasa la 5 na wanaweza kumpiga taff graduate siwaoni huku mtaani kwetu...Mi huku naona hata walioishia darasa la tatu B wanahangaika na kupambana kama ambavyo graduates wengi wanapambana..kiufupi maisha ni magumu kote kote..haijalishi umesoma hadi level gani au uliishia chekechea....
 
Nyie wenye mpango wa kujiua acheni kabisa, mnataka muondoke halafu hizi shida mumwachie nani?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

We acha mautani wee, kwa vitu serious
 
Usikubali kutafuta ridhiki sehemu uliyokulia!

Frustrations zake si za kitoto
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

We acha mautani wee, kwa vitu serious
Siyo utani mkuu...

Vijana tukisikia kijana mwenzetu kajiua kisa ugumu wa maisha inatukatisha tamaa sana. Unaanza kuwaza ina maana kumbe kutoboa ni kama ndoto za nyoka kuwa siku moja ataota miguu mingi kama jongoo.

Wasijiue ili tuzigawane gawane hizi shida ziishe.
 
Mimi nimeoa na Nina watoto wakubwa kwahio nashauri kutokana na experience. Hakuna siku hata moja maisha yatakua na nafuu, kila siku ni heri ya Jana. Trust me
 
Wengi tunaumizwa na maisha ya wengne, tunapenda kujilinganisha na watu tuliokuwa tukiwaona wenda kulisoma nao ama tumekuwa nao, ile pressure tunayoipata kutokana na kufanikiwa kwao ndio unatukatisha tamaa hasa pale mzaz anapo kulinganisha nae
 
Wa darasa la tano huwa wanafanya maamuzi ya kutafuta pesa mapema.
Nakupa mfano,Kuna jamaa angu alikuw anazingua shule Sana.
Yaani kwa wiki anakuja mara mbili shule ,siku zilizobaki garage kwenye karakana ya magar kujifunza(kwa bidamu yake).
La Saba kahitimu kwa mbinde ,kafeli kaingia jumla kwenye magari.
Mishe za masomo hadi mavyuo ,nmekuja kutana nae Club moja maarufu pande la mtu .Ana bonge la ndinga ,kupiga nae story anasema ana karakana yake na ameajili vijana ,na pia ndie mkubwa wa kitengo cha umeme wa magari kwenye kampuni flan kubwa ya magari.
Aisee tuchenji twangu tulipona ,nilikula maji mpaka basiii ,nikapigwa na 30k ya supu.kimoyomoyo nikasema kesho weekend naenjoy tena [emoji23][emoji23].
Ni miaka kadhaa imepita ,sema namshukuru Mungu Allahamdulilah mambo yanaenda.
Kuna haja kubwa Sana ya kulekebisha mfumo wetu wa elimu ,kutoka kutegemea ajira mpaka kujiajili.
 
Mfumo wa elimu mbovu,mda mwingi unasoma unakuja kumaliza chuo 29yrs kazi huna .
Yule aliyeacha shule drs5 ndo anakupa hela ya k vant ,na anakula pisi kali kitaa.sasa ndo uombe ayo makaratasi yanayoitwa degree yawe hela.so sad mkuu
[emoji15][emoji15][emoji15]
 
[emoji81][emoji81][emoji81]
 
Kama ipo ipo tu jamaa wa KFC katoboa maisha akiwa na miaka 62 wewe ni nani unalalamika ata nusu ya miaka hujafika.
Utoboe maisha katika umri wa miaka 60+ ili iweje sasa?! Ukifika 50+ maisha hayasomeki then hapo ikibidi vamia benki tu.... Uspend miaka iliyobakia kama mtuhumiwa anae tafutwa na polisi.....

Wakikutafuta kwa miaka 30 ukizeeka unadedi fresh

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimeoa na Nina watoto wakubwa kwahio nashauri kutokana na experience. Hakuna siku hata moja maisha yatakua na nafuu, kila siku ni heri ya Jana. Trust me
Siwezi nikakubishia mkuu maana sijaoa wala sina mtoto,na ni kweli kuwa hakuna siku moyo wa mtu utardhka kuwa sasa inatosha,ila naona itafaa atafute watoto akiwa amewaandalia mazingira mazuri
 
Wengi tunaumizwa na maisha ya wengne, tunapenda kujilinganisha na watu tuliokuwa tukiwaona wenda kulisoma nao ama tumekuwa nao, ile pressure tunayoipata kutokana na kufanikiwa kwao ndio unatukatisha tamaa hasa pale mzaz anapo kulinganisha nae
Sahihi,na chanzo kikubwa cha wivu ni kujilinganisha
 
Mkuu kikubwa uhai mi mwenyewe na mtoto hapa ni shida tupu.Ila i take it as motivational to husle more..
 
Na hapo kati usiombe ukampatia moyo demu poyoyo utajuta kuyajua mapenzi.

Dira zote hazitasoma tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…