Kijana wa Uingereza kaliza watu mamilioni ya Pauni kupitia Forex

Kwa hiyo mama/mke/shangazi/baba ako akiwa mapumziko akipiga picha za kumbukumbu kwenye hoteli za bei ghali na yeye utamuita tapeli?
So na hawa matapeli hua wanakua kwny mapumziko kila siku sio?hahah

Na usiwasahau kwny show room za magari(Range Rover,Bentlin,Bmw,MB etc) wanakopiga picha kila siku na zile tags zao za:

#GUDLIFE

#CASH MONEY BROTHER

#BEST BRAIN

#MONEY TALKS

dodge
 
Whatever the case, truth is forex is not a scam.

Ila shida ni kwamba kwenye kila biashara matapeli huwa hawakosekani. ONTARIO usimfananishe na huyo dogo wa Uingereza.

Tena ONTARIO ni wa kushukuriwa sana maana alifanya jamii ikajua biashara hii adimu ambayo kweli mabenki na mabwanyenye wengi walikuwa hawataki watu waijue.

Forex inaendeshwa kama stock market [mfano kwa hapa Tz tuna DSE] japo kuna utofauti kidogo sana.

Tatizo lililopo ni kwamba forex inahitaji ule shule ya kutosha plus ufuate risk management plus uwe mvumilivu vitu ambavyo vijana wengi hawaviwezi na ndipo wanaangukia mikononi mwa hao matapeli.

Ni kosa sana tena ni upumbavu kumpa mtu pesa yako eti akutredie, big mistake.

ONTARIO atabaki kuwa juu na Mungu ambariki kwa kuileta hii fursa level za chini kabisa kwa enterpreneurs wadogodogo.

Japo anaweza akawa na mapungufu yake lakini huwezi anza kumfananisha na hao matapeli.

Unforgetable
 
Hakuna utajiri wa haraka ndugu zangu..lbda kwa wanawake tu.
Mwanaume ulishaambiwa lazima utoke jasho yaani ule msoto wa maana kiakili au kimwili.
Dah kweli mwanamke bottom power yake anaweza pata utajiri fasta sana. Achana na papuchi utajiri na utamu anapata.
 
So na hawa matapeli hua wanakua kwny mapumziko kila siku sio?hahah
Nimekuuliza swali hujajibu. Rudia tena kusoma swali alafu unijibu.

Kwa hiyo mama/mke/shangazi/baba ako akiwa mapumziko akipiga picha za kumbukumbu kwenye hoteli za bei ghali na yeye utamuita tapeli?
 
Nimekuuliza swali hujajibu. Rudia tena kusoma swali alafu unijibu.

Kwa hiyo mama/mke/shangazi/baba ako akiwa mapumziko akipiga picha za kumbukumbu kwenye hoteli za bei ghali na yeye utamuita tapeli?

Nimekuuliza swali hujajibu. Rudia tena kusoma swali alafu unijibu.

Kwa hiyo mama/mke/shangazi/baba ako akiwa mapumziko akipiga picha za kumbukumbu kwenye hoteli za bei ghali na yeye utamuita tapeli?

Absolutely ni matapeli kwa 100% kama kazi yao ni kupiga picha kila siku kwny hayo mahoteli ghali.

dodge
 
Na vipi hawa matapeli wanaoshinda kwny show room za magari(Range Rover,Bentlin,Bmw,MB etc) wanakopiga picha kila siku na zile tags zao za:

#GUDLIFE

#CASH MONEY BROTHER

#BEST BRAIN

#MONEY TALKS
Nimekuuliza swali hujajibu. Rudia tena kusoma swali alafu unijibu.

Kwa hiyo mama/mke/shangazi/baba ako akiwa mapumziko akipiga picha za kumbukumbu kwenye hoteli za bei ghali na yeye utamuita tapeli?

dodge
 
Nimekuuliza swali hujajibu. Rudia tena kusoma swali alafu unijibu.

Kwa hiyo mama/mke/shangazi/baba ako akiwa mapumziko akipiga picha za kumbukumbu kwenye hoteli za bei ghali na yeye utamuita tapeli?
Mkuu mbona hili suala lipo wazi sana asee. Yani alichomaanisha mng'ato ni kuwa hawa jamaa wanaokushawishi kuwa unaweza kupiga pesa chap chap na kuishi maisha safi kama wao (hapo ili uone kweli ni maisha safi ndio atakuonyesha mapicha ya kifahari akiwa kwenye mahotel au magari mara private jets n.k). Point ilikua hiyo.

Mimi mwenyewe kuna kipindi nashawishiwa kujiunga na Forever Living ile mara ya kwanza tukaalikwa kwenye nyumba moja ya kifahari sana Mbezi Beach tukala chakula bufee moja matata kisha tukaonyeshwa picha wahusika wakiwa vacation Hawaii mara Maldives. Yani ndio njia matapeli wanazotumia kama chambo chakunasia watu.
 
Soma vizuri point yake, kasema "watu wanao piga picha wakiwa kwenye hoteli za gharama ni matapeli... "

Sasa tumia akili yako kujibu....

Ni kweli kila mtu anayepiga picha kwenye hoteli za gharama ni tapeli?

Tuanzie hapo kwanza..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom