mkuu kati ya watu nawafuatilia kwa ukaribu sana hapa jf ni wewe. na naamini una spirit flani ya kiutaftaji na kujiongeza lakini kati ya vitu nakuona vinakukwamisha mojawapo ni hili la kusikiliza zaid hawa motivation speaker kuliko kutenda.
kama unakumbuka nilishawahi kukoment kwenye uzi flani wa motivation speaker nikakuuliza "vipi ushafungua car wash?"
lengo ni kukumbusha kwamba inatakiwa utende zaid kuliko kusikiliza
mtu gani unawasikiliza motivation speaker toka 2016 mpaka leo hamna ulichokifanyia kazi?
hawa motivation speaker wanajinasibu kuwa wana ukwasi sana na iweje waandae semina kisha wakudai 40k kama kiingilio?
sibishi kuwa ontaio ni mpambanaji sana lakini siungi mkono baadhi ya njia anazozitumia kama alivoanzisha TMT na kisha kutokomea mbali nakutokujibu wazi tuhuma zinazomkabili then akaikimbia account yake hapa jf ya
ONTARIO
mkuu fuatilia hawa watu then changanya na zako
Sent using
Jamii Forums mobile app