Kijana wa Uingereza kaliza watu mamilioni ya Pauni kupitia Forex

Kijana wa Uingereza kaliza watu mamilioni ya Pauni kupitia Forex

Hakuna utajiri wa haraka ndugu zangu..lbda kwa wanawake tu.
Mwanaume ulishaambiwa lazima utoke jasho yaani ule msoto wa maana kiakili au kimwili.
Ongezea
labda kwa wanawake na mashoga tu
 
Ontario Wa uingereza.
Ontario Wa Bongo.
Ontario wa SA.
Ontario Wa kolomoje.
Ontario Wa bukinabe.
Ontario Wa Naija.
Ontario Wa Copenhagen.
Ontario Wa US.
Ontario wa SSM.
Ontario Wa Buza!!!!
Hawa wote ni maontario hatari sana duniani hawana tofauti kabisa,jaribuni kujikinga nao kwa kuvaa headphone kila wanapotaka kutoa speech zao za kitapeli tapeli.
 
Daah bongo nyoso

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mkuu mtu anawezaje kuwithdraw hela Kwenye account yako ya broker wakati wewe unampa password za trading platform tu kama metatrader??
Sasa ukishampa pass word za akaunti mbna ni simpo tu ..ana login kama kawaida Si tayari ana password kisha anaingia kwenye akaunti ya broka unayemtumia anaweka email yake na na namba ya Siku kama inawezekana kosha anavuta mkwanja kiulaini tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ukishampa pass word za akaunti mbna ni simpo tu ..ana login kama kawaida Si tayari ana password kisha anaingia kwenye akaunti ya broka unayemtumia anaweka email yake na na namba ya Siku kama inawezekana kosha anavuta mkwanja kiulaini tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli. Kuna account mbili nikiwa,na maana kuna main ambayoo ni site yenyewe ambayo hutakiwi kumpa,mtu na mt4 bdo unaweza,mpa mtu na asichukue pesa na,hata wezaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom