Acheni wivu mtu kama tajiri wacha ale bata kama Irene Owoya anamiliki hotel 5 star (Kempinski na Mt. Meru) sasa akipiga picha kwenye mali zake anakuaje tapeli?
Kuna msemo wasema, ukimuhukumu samaki kwa kutokuweza kupanda mti, utaishi maisha yako yote ukiamini hana uwezo wa kufanya lolote...Na unaogopa technolojia kwa sababu either ni mbumbumbu au ni mvivu wa kujifunza.
So na hawa matapeli hua wanakua kwny mapumziko kila siku sio?hahahKwa hiyo mama/mke/shangazi/baba ako akiwa mapumziko akipiga picha za kumbukumbu kwenye hoteli za bei ghali na yeye utamuita tapeli?
Dah kweli mwanamke bottom power yake anaweza pata utajiri fasta sana. Achana na papuchi utajiri na utamu anapata.Hakuna utajiri wa haraka ndugu zangu..lbda kwa wanawake tu.
Mwanaume ulishaambiwa lazima utoke jasho yaani ule msoto wa maana kiakili au kimwili.
Nimekuuliza swali hujajibu. Rudia tena kusoma swali alafu unijibu.So na hawa matapeli hua wanakua kwny mapumziko kila siku sio?hahah
Nimekuuliza swali hujajibu. Rudia tena kusoma swali alafu unijibu.
Kwa hiyo mama/mke/shangazi/baba ako akiwa mapumziko akipiga picha za kumbukumbu kwenye hoteli za bei ghali na yeye utamuita tapeli?

Mkuu mbona hili suala lipo wazi sana asee. Yani alichomaanisha mng'ato ni kuwa hawa jamaa wanaokushawishi kuwa unaweza kupiga pesa chap chap na kuishi maisha safi kama wao (hapo ili uone kweli ni maisha safi ndio atakuonyesha mapicha ya kifahari akiwa kwenye mahotel au magari mara private jets n.k). Point ilikua hiyo.Nimekuuliza swali hujajibu. Rudia tena kusoma swali alafu unijibu.
Kwa hiyo mama/mke/shangazi/baba ako akiwa mapumziko akipiga picha za kumbukumbu kwenye hoteli za bei ghali na yeye utamuita tapeli?
Acheni wivu mtu kama tajiri wacha ale bata kama Irene Owoya anamiliki hotel 5 star (Kempinski na Mt. Meru) sasa akipiga picha kwenye mali zake anakuaje tapeli?
Acha wivu
Soma vizuri point yake, kasema "watu wanao piga picha wakiwa kwenye hoteli za gharama ni matapeli... "Mkuu mbona hili suala lipo wazi sana asee. Yani alichomaanisha mng'ato ni kuwa hawa jamaa wanaokushawishi kuwa unaweza kupiga pesa chap chap na kuishi maisha safi kama wao (hapo ili uone kweli ni maisha safi ndio atakuonyesha mapicha ya kifahari akiwa kwenye mahotel au magari mara private jets n.k). Point ilikua hiyo.
Mimi mwenyewe kuna kipindi nashawishiwa kujiunga na Forever Living ile mara ya kwanza tukaalikwa kwenye nyumba moja ya kifahari sana Mbezi Beach tukala chakula bufee moja matata kisha tukaonyeshwa picha wahusika wakiwa vacation Hawaii mara Maldives. Yani ndio njia matapeli wanazotumia kama chambo chakunasia watu.
Kwa hiyo mama ako akipiga picha kwenye hoteli za gharama ni tapeli?Absolutely ni matapeli kwa 100% kama kazi yao ni kupiga picha kila siku kwny hayo mahoteli ghali.
dodge
hajazungumzia kupiga picha tuKwa hiyo mama ako akipiga picha kwenye hoteli za gharama ni tapeli?
Sent using Jamii Forums mobile app