Kijana wa Uingereza kaliza watu mamilioni ya Pauni kupitia Forex

Sijawahi kudanganyika wala kushawishika na hizi biashara

Jr[emoji769]
Leo hii mtu ukimwambia uchawi na kufanya kazi mochwari ni dili atakushangaa sana, why?

Simply because he/she knows nothing about mochwari na uchawi!!

Na kwa namna yeyote huyo mtu atamchukulia mfanya kazi mochwari kama mtu flani hivi wa tofauti sana katika jamii na wengine wataenda mbali zaidi na kuwa term kama watu katili na wenye roho wabaya/ngumu!

Je kuwa term wachawi au wafanya kazi mochwari kama watu wabaya/wakatili kutabadili ukweli kwamba kazi ya mochwari inamsaidia huyo mtu kulipa bili na kusomesha watoto? Jibu ni NO!

so lazima tuheshimu kazi na maisha ya watu na tukubali kutokukubaliana for as long as hatudhuru mtu au kivunja sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu ni mfano wa kuigwa ukimtazama kwa jicho la pili.
Kaangalia fursa.
 
Mpotezeeni tu wakuu,anataka ubishi wa kitoto huyo.
hajazungumzia kupiga picha tu

point yake ni kupiga picha daily kwenye hayo mahotel mara showroom kama Tunda

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio kila anaepiga picha kwenye hotel ni tapeli. Nami naomba nawewe utumiw akili yako. Hii mada imejikita zaidi kuhusu hawa wanaoshawishi watu kwa kupiga picha hizo sehemu ili kuwatapeli.

Hebu jiongeze acha ubishi
Wewe jamaa bana dah unamambo ya ajabu kweli umekomalia mama, mama..yani mama ndo apige picha ya mapumziko na kuifanyia promo mitandaoni?
Hembu kuwa bana acha utoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hapa unajadiliwa utapeli au mapumziko ya mama?

Sent using Jamii Forums mobile app

dodge
 
Ila social media ukitaka kuwaibia watu unawaibia kiulaini. Ni kama kuna shetani watu wanakuamini hata kukuona live hawajawahi. Unaanza vipi kumpa mtu akuzalishie pesa zako ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…