Kijana wa Uingereza kaliza watu mamilioni ya Pauni kupitia Forex

Sijaelewa mantiki.

Nimesema leta picha alizoaminisha watu kuvuta forex, mbona hizo picha hazina uhusiano na nilichouliza hizo ni picha za kawaida za page yake.

Lete picha alizorusha humu akiwa hotel akasema nimeenda hotel hii kwasababu ya FX.

Hilo gari ni gari lake na yupo nayo sehemu nyingi hapa mjini mpaka Dom nishawai muona na gari yake hiyo kwenye foreni unataka kusema hana uwezo wakununua hiyo Discover 4.

Jamaa ameleta FX 2017, pitia picha na lifestyle yake kabla 2017 je hana lifestyle hiyo ulivyoona.

TUWE NAHOJA SIO KUFA MIKUMBO KAMA NG'OMBE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona umepaniki sana mdogo angu vipi ushapata nauli yakwenda mikoani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona umepaniki sana mdogo angu vipi ushapata nauli yakwenda mikoani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unajua wewe mmoja wa ninayewakubali na bado mimi na wewe bado tupo kwenye stage ya kuHustle tu sasa mambo yakufuata mikumbo sikuashauri angalia kitu gani sahihi kwaupande wako.

Hilo la mkoa nisha cancel nina dili nalingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni ONTARIO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawawezi mfunga mtu kama huyu maana kufanya copytrading ni risk mtu unachukua mwenyewe, waliompa access ya account ndiyo wajinga, kama amewithdraw na kukimbia na hela then anaweza fungwa, ila kama amefanya bad trades hela ikapotea then hawezi kulaumiwa maana copy trading ukiingia unakua umekubaliana na risks zote wewe mwenyewe. Ni good business ila you must know the risk kabla ya kuingia, trading ni gambling tu, unless una insider information so invest only what you are willing to lose.
 
Kwani mkuu mtu anawezaje kuwithdraw hela Kwenye account yako ya broker wakati wewe unampa password za trading platform tu kama metatrader??
 
Kutapeliwa ni utashi. wengi tusiotaka wala kupenda kutapeliwa hata Ontario wa humu tulijua ni tapeli tu. Wanapenda kutapeliwa kwa kudhani maisha ni rahisi rahisi wakajipeleka.
 
mkuu kati ya watu nawafuatilia kwa ukaribu sana hapa jf ni wewe. na naamini una spirit flani ya kiutaftaji na kujiongeza lakini kati ya vitu nakuona vinakukwamisha mojawapo ni hili la kusikiliza zaid hawa motivation speaker kuliko kutenda.

kama unakumbuka nilishawahi kukoment kwenye uzi flani wa motivation speaker nikakuuliza "vipi ushafungua car wash?"
lengo ni kukumbusha kwamba inatakiwa utende zaid kuliko kusikiliza

mtu gani unawasikiliza motivation speaker toka 2016 mpaka leo hamna ulichokifanyia kazi?

hawa motivation speaker wanajinasibu kuwa wana ukwasi sana na iweje waandae semina kisha wakudai 40k kama kiingilio?

sibishi kuwa ontaio ni mpambanaji sana lakini siungi mkono baadhi ya njia anazozitumia kama alivoanzisha TMT na kisha kutokomea mbali nakutokujibu wazi tuhuma zinazomkabili then akaikimbia account yake hapa jf ya ONTARIO

mkuu fuatilia hawa watu then changanya na zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaap andiko zuri

Sio msikilizaji bila kutenda mkuu vitendo nifanya sana ila sijafika pakubwa changamoto nyingi na Carwash ni Goal yangu ya kati tu ambayo sijaifikia.

Mwaka ulioisha ndio nilitenda sana nilipanga nifunge mwaka hata na biashara mbili ila changamoto zimenirudisha nyuma Wezi waliniibia vifaa vya kazi, ikaja tena kifaa kikubwa kika ungua ukizingatia mtaji ndogo ikanirudisha nyuma hadi sasa nime kwama kwenye biashara moja ambayo haina mafanikio kabisa.

So mkuu unaposema sitendi siokweli una detrmine kwa ku-observe Carwash hapo inakuwa sio kweli.

Alfu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23] wapi umenikuta nasikiliza MSpeaker akafu tangu 2016 duu mbona uwo mwaka minilikuwa sijui hata nafanya nini maishani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
good answer but hapo mwishoni ilikuwa ni wito kwa wasomaji sikukulenga wewe but jaribu kufocus kwenye jambo moja then ikamie utatoboa hawa akina nani nani sjui ukiwasikiliza na kuwafat utapotea
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…