Wazazi wa sasa hamjui kuelekeza vijana mnadhani kufoka ndio kuelekeza mtoto wake kashakuwa mtu mzima anaona unamshushia heshima chakufanya akikosea ukifika home muite pembeni kaa nae muulizie vipi mbona hili suala silielewi imekuaje hio itamfanya atoe yote ya moyoni sio kufokafoka kama mbwaKijana wangu, ana miaka 20 kwa sasa, yuko chuo anamaliza mwaka wa kwanza, tangu alipomaliza kidato cha sita kawa mtu wa hasira sana, akikosea kitu ukimuonya hataki kabisa kusikiliza, badala yake ataanza kuongea kuonesha hakubaliani na baada ya hapo ananuna haongei na mtu hata siku 3.
Hali hii imekuwa kero sana kwa familia yetu kwani akiwa katika hali hiyo, kila anayemsemesha anamjibu kwa sauti ya kufoka, anapenda kukaa peke yake, anakuwa busy tu na simu yake na si watu wa familia yake, na ikifika wakati wa chakula hajumuiki na wengine anakula kwa wakati wake mwenyewe.
Kuna muda natamani hata likizo iishe arudi chuo nisimuone kabisa kwani kawa simba ndani ya nyumba yangu mwenyewe, kuna muda natamani kumkata makonde ila najizuia, sijui kapatwa na nini.
Je, nifanyeje kumsaidia aache tabia hii ambayo katika makuzi yake hakua nayo, kwa sasa ni mtu mzima siwezi hata kusema nitatumia fimbo.
Hilo haliwezi kusaidia huyu ni mtu mzima anamaamuzi yake sio kufokewa ndio wazazi wanachokosea hichoFanya mpango udukue simu yake.
Ukitaka kumjua mtu basi kagua simu yake.
Hiyo siyo nzuri italeta shida zaidi.Fanya mpango udukue simu yake.
Ukitaka kumjua mtu basi kagua simu yake.
Mnaishi kizungu, mimi miaka 20 ndio nilikuwa form 3 wakati huo. Hadi leo nimefika miaka 40+ siwezi kununia family members.Kijana wangu, ana miaka 20 kwa sasa, yuko chuo anamaliza mwaka wa kwanza, tangu alipomaliza kidato cha sita kawa mtu wa hasira sana, akikosea kitu ukimuonya hataki kabisa kusikiliza, badala yake ataanza kuongea kuonesha hakubaliani na baada ya hapo ananuna haongei na mtu hata siku 3.
Hali hii imekuwa kero sana kwa familia yetu kwani akiwa katika hali hiyo, kila anayemsemesha anamjibu kwa sauti ya kufoka, anapenda kukaa peke yake, anakuwa busy tu na simu yake na si watu wa familia yake, na ikifika wakati wa chakula hajumuiki na wengine anakula kwa wakati wake mwenyewe.
Kuna muda natamani hata likizo iishe arudi chuo nisimuone kabisa kwani kawa simba ndani ya nyumba yangu mwenyewe, kuna muda natamani kumkata makonde ila najizuia, sijui kapatwa na nini.
Je, nifanyeje kumsaidia aache tabia hii ambayo katika makuzi yake hakua nayo, kwa sasa ni mtu mzima siwezi hata kusema nitatumia fimbo.
Kuna mademu kinamsumbua huyo English Medium wakoKijana wangu, ana miaka 20 kwa sasa, yuko chuo anamaliza mwaka wa kwanza, tangu alipomaliza kidato cha sita kawa mtu wa hasira sana, akikosea kitu ukimuonya hataki kabisa kusikiliza, badala yake ataanza kuongea kuonesha hakubaliani na baada ya hapo ananuna haongei na mtu hata siku 3.
Hali hii imekuwa kero sana kwa familia yetu kwani akiwa katika hali hiyo, kila anayemsemesha anamjibu kwa sauti ya kufoka, anapenda kukaa peke yake, anakuwa busy tu na simu yake na si watu wa familia yake, na ikifika wakati wa chakula hajumuiki na wengine anakula kwa wakati wake mwenyewe.
Kuna muda natamani hata likizo iishe arudi chuo nisimuone kabisa kwani kawa simba ndani ya nyumba yangu mwenyewe, kuna muda natamani kumkata makonde ila najizuia, sijui kapatwa na nini.
Je, nifanyeje kumsaidia aache tabia hii ambayo katika makuzi yake hakua nayo, kwa sasa ni mtu mzima siwezi hata kusema nitatumia fimbo.
Huyo ni mtu mzima, ukidukua mawasiliano yake, unavunja sheria. Na akipata mwanasheria anakutia gerezaniFanya mpango udukue simu yake.
Ukitaka kumjua mtu basi kagua simu yake.
Hatokuta cha maana zaidi ya videm na pornoFanya mpango udukue simu yake.
Ukitaka kumjua mtu basi kagua simu yake.
Umeniwahi. Hakuna kitu kinamfanya kijana ajichukie na kujiona hana thamani kama uraibu wa ponografia na kujichua. Hasira zisizo na sababu, kutokujiamini, uoga, hofu, lack of concentration, mawazo mabaya....Kujichua
Pole sana! Huyo bado anaonyeka mkuu, kwa malezi haya unayompa, jiandae siku utatatafuta Wakili wa kumtetea asinyongwe au kufungwa!!Kijana wangu, ana miaka 20 kwa sasa, yuko chuo anamaliza mwaka wa kwanza, tangu alipomaliza kidato cha sita kawa mtu wa hasira sana, akikosea kitu ukimuonya hataki kabisa kusikiliza, badala yake ataanza kuongea kuonesha hakubaliani na baada ya hapo ananuna haongei na mtu hata siku 3.