Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

Mkuu ninajutia sana kujifanya "nice guy"... ukiwa mwema sana kwa mwanamke ni kama unamkera. Adhabu utakayopewa ni kuchunwa na kusalitiwa.
Unanipa somo kali maana na mm nilikuwa naingiaga mkenge Sana KWA mtindo huu.....ila kuna funzo katika kuanguka na kusimama tenah

Pambana na mtangulize MUNGU naye atanyoosha mapito yako
 
Duh pole sana chief yeye vipi maendeleo yake karma haijapita nae kwa aliyo kutendea?
 
Tanga ipi? Na kabila gani huyo? I hope sio msambaa
 
Kawaida, mama zetu wamepambana.
 
uwezo wangu wa kumhudumia ukapungua, aisee niliona kila rangi, sikuamini yale maneno yalitoka kinywani mwake. Kuna maneno alinambia bado nayakumbuka, ndo maana hadi leo naogopa wanawake wa Tanga.
Acha uoga mkuu....wanawake huongea kwa hisia.....naweza s3ma wanaropoka
 
Pole sana mkuu, kwahiyo hadi leo hakurudi tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…