Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

Hapa tatizo ni sisi wanaume kutojua au kutofundishwa saikolojia ya wanawake. Kwa wanawake, kadiri unavyoonyesha kuwa muwazi ndivyo anavyozidi kutokuamini, kadiri unavyoonyesha unampenda peke yake ndivyo anavyozidisha wivu ambao unamfanya muda wote awe na wasiwasi na kuanza ku overthink na hapo utachunguzwa Sana.

Unapooa mke chakwanza usimruhusu akacheza na simu yako hata kama mnapendana vipi. Kwasababu anaweza ona kitu ambacho hata siyo kibaya Ila kwasababu ya wivu na kuwa na uhakika kwamba kwake haupindui, basi atakuwashia moto ambao hauna hata msingi (hii ilinitokea na ikawa mwisho wa kugusa simu yangu). Cha pili unapooa mke ili asiwe na wivu Sana unatakiwa kumuonyesha kwamba unampenda Sana Ila anytime akizingua wewe unaweza fanya lolote. Mwanamke akiwa na mentality hii atakuwa busy Sana kujiangalia yeye anakufanyia Nini ili usikwazike kuliko kufikilia wewe unamfanyia Nini au ukitoka unaenda kwa mtu mwingine, hii itapunguza Sana migogoro inayohusiana na uaminifu.

At the end, the more unaonyesha kumpenda mwanamke ndiyo nayeye anavyozidi kuishi kwa mashaka na wewe na overthinking mwisho wa siku unapoteza familia kabisa. Tuishi nao kwa akili sana hawa watu ili familia zidumu
 
Hahaha Safi sana. Hongera kwa uchambuzi murua

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
inategemeana mkuu
 
Acha kumdanganya wewe!
Watu tunapiga nyeto huu mwaka wa 23 lakini sina madhara yoyote nikipata demu napiga show vizur tu na hata mikono yangu haitetemeki kama unavyosema
be careful chief , vijana wengi wameharibikiwa kisa nyeto .

bahati mbaya sana masturbation ukiingia ndio umeingia (spiritual custody)

tuoe mazee
 
Ila Jeff alikuwa na mikwara ...

"Hii biashara hakuna bank itataka uijue"

By the way tumuombee heri pia recently alipost anapitia depression kubwa sana hadi mtaalamu wa afya ya akili akamwambia akae mbali na mitandao ya kijamii..
 
Gundu ilinitesa sana, kuanzia miaka ya 2004 nilitembelewa na gundu pro max macho matatu.
Kila nilichokuwa nagusa kinakufa.
Nilichofanya nikaanza kuishi kwa wasi wasi sana na kutokumuamini mtu yeyote

Nilipitia KIPINDI kigumu

Kuanzia miaka ya 2020 naona anga limefunguka na mpaka leo nakula milo mitatu na vimiminika.
 
hongera chief wengine bdo tunajitafuta
 
Mbona hujatuambia kama ulienda kwa babu mkuu mambo ndio yakaanza kunyoka.
 
Atakutafuna hadi wewe usipomuangalia uyo mmachame mimi nimeachana nao mwaka jana ila mala nimehama hadi mkoa maana nilihisi mda wote ataniwekea hata sumu au majambazi ao watu ilibidi wazaliwe hamas au Pakistan huko
[emoji1787][emoji23][emoji28] nimecheka kama mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…