Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

Atakutafuna hadi wewe usipomuangalia uyo mmachame mimi nimeachana nao mwaka jana ila mala nimehama hadi mkoa maana nilihisi mda wote ataniwekea hata sumu au majambazi ao watu ilibidi wazaliwe hamas au Pakistan huko
dah hii kali
 
Mkuu una madini sana.. mkuu una madini kwelikweli
 
Atakutafuna hadi wewe usipomuangalia uyo mmachame mimi nimeachana nao mwaka jana ila mala nimehama hadi mkoa maana nilihisi mda wote ataniwekea hata sumu au majambazi ao watu ilibidi wazaliwe hamas au Pakistan huko
Du,kumekuchq
 
Samahanini niko nje ya mada nauliza tu kwani huku wote mmemaliza chuo zamani maana kila nikisoma comment naona 2012,2017 nikijiangalia ndio kwanza nimemaliza this year nimeishiwa nguvu
[emoji23][emoji1787][emoji23] Mi niligraduate 1998
 
Ooooh bado.
Nipo very carefully kufatilia visa humu ndani na kujifunza kupitia visa hivo.

Kwa sababu hiyo mpaka leo nipo mikono salama..

Lakini pia kama haitoshi huwa na screenshot kabisa napitia pitia ili kujikumbusha.
 
Unaishiwaje nguvu sasa?? Ndo wakati wako huu pambana...je tukisema sisi tulomaliza elfu 2013 huko si utazirai... πŸ˜‡ πŸ˜‡ πŸ˜‡ πŸ˜€πŸ˜€
Samahanini niko nje ya mada nauliza tu kwani huku wote mmemaliza chuo zamani maana kila nikisoma comment naona 2012,2017 nikijiangalia ndio kwanza nimemaliza this year nimeishiwa nguvu
 
Asante mkubwa umesomeka. Mahusiano mabovu yanamchango mkubwa sana kurudisha wanaume nyuma hata wanawake pia
 
Mwanamke jeee,ulimrudisha ??
 
Ulevi wa ngono.

Hiyo ni hatari mkuu.

But jesus rescue me I thank him"
Acha tuu mbususu ni adiction moja hatari...wee ukione mwanamke tuu unataka kidinya mshahara ukifika tuu unachona wewe ni mbususu.
Ila wanawake watamu nyie acheni tuu
 
Kutamani kujiua tena kisa mbususu?!!
Wee huonuraibu wako uliambatana na pepp 🀣🀣🀣
 
Aloo wazee mna mioyo ya chuma mnasomeshe mwanamke duh!
HWa ni kuwagegeda tuu na kuwatupa kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…