Kijeshi, Urusi imefeli vibaya sana huko Ukraine

Tuwe tunatumia Akili zetu japo kidogo usiweke mahaba tu.....
Hivi unaweza kuteka jiji lenye population million kwa Wanajeshi 20k?
Hakuna anayejua Mrussi anachofanya, baada ya mda ndio unaweza kuelewa alikuwa anawaza nini.
Mfano, Baada ya mda kupita ndio watu tukaelewa kuwa labda alipanga kuyazuia majeshi ya Ukraine from reinforcing miji mingine kwa kuizunguka kiev.
 

Bro unatatizo jaribu kujichunguza aisee!!.
Ooh. Naomba usipuuze ushauri wangu hii si akili ya kawaida.
 
MALENGO YA RUSSIA KUFANYA OPERATION HII NI YAPI HADI WEWE USEME RUSSIA KAFELI?.
HIYO ULIYOTAJA KUWA NDIYO LENGO UNAWEZA KUWEKA UTHIBITISHO JAPO WA MANENO TU TOKA RUSSIA ILI TUAMINI DAI LAKO?.
 
na mimi nikisema umeandika hii kwa kufuata hisia zako nitakuwa nakosea?
Sio hisia bali ni uhalisia sisi wote ni watazamaji/mashabiki wa vita kila mtu ana upande wake anaouhusudu lakini ushabiki huo uendane na facts sio kuaminisha kitu ambacho kila mtu anaona.

Labda hilo swali unisaidie kujibu, kwa mtazamo wako unavyoona nani kapata loss kwenye hii vita ili kumsaidia mtoa mada?
 
wenzio walikuwa na phase moja tu , punde si punde wakaongeza Phase 2 hatujui zipo phase ngap ? na malengo yao yanabadilishwa kila siku , ipo siku watasema walienda kusalimia Ukraine
 
hahaa sasa kama malengo yalikuwa mashariki , je walienda kufanya nn Kyiv ?
 
Umeongea ushuzi
 
ww ndo mpuuz kbs , hawez kuwa rais ? ww ni raia wa ukraine ? unahisi wa ukraine wana akil za kipuuz km zako , wamevamiwa wanajua , malengo ya kujiunga na NATO na EU siyo ya Zelewinsky ameyakuta katika ilani ya utawala ambayo yalikuwepo na ndo yaliyomtoa kibaraka wa Urusi 2013 baada ya kukataa ofa ya kujiunga na umoja wa ulaya EU kwa kung'ang'ania ushosti na urusi ndipo raia wakaandamana wiki kadhaa mfululizo mpk kujiuzuru kwake , so Zelewinsky hajaleta jambo lolote jipya na ndio maana raia wamejitolea kuipigania serikali yao sababu wanajua ipo kwa ajili yao , Urusi anapambania kupandikiza kibaraka ndani ya ukraine na hiko kitu wa ukraine wanaelewa na ndio maana wameshikama kumzuia mrusi asifanikiwe na kwa hilo wamefanikiwa , sasa hv mrusi kabadili ameenda kujifanya anapigana sehemu ambayo kashashinda tangu muda mrefu ,ulibakia upinzan mdogo tu ndo anapambana nao , ila serikali ya Ukraine imemfuata huko huko mashariki kwa wiki hii inasemekana ( sababu sipo ukraine ) mpambano umechachamaa kwa pande zote mbili
 
 
Yeye ana tatizo Ila wewe huna akili kabisa
Uko sahihi mimi sina akili hivyo sihitaji kwenda kutafuta suruhisho. Uwezi kwenda kutibu kidondo ambacho huna.
Jamaa akili anazo ila ana tatizo katika hiyo akili nimeshauri atafute ufumbuzi(therapist) wa tatizo lake ili awe normal.
 
Putin naona kapoteza sana sababu kama ulipanga vita utumie siku 3 halafu kwenye ground ukaenda siku 60+ maana yake umetumia bajet ambayo hukuipanga
 
Putin naona kapoteza sana sababu kama ulipanga vita utumie siku 3 halafu kwenye ground ukaenda siku 60+ maana yake umetumia bajet ambayo hukuipanga
Hujajumlisha gharama ya vifaa ambavyo amepoteza, ukiconvert ktk money, ni pesa ndefu imeenda.
 
Wewe unaishi dunia ipi? Mbona unavyo jua ni tofauti na hali halisi, Urusi ime mzingira adui asiweze kureinforce majeshi yake mahara popote kwa kupeleka vita karibu na kievi hilo anelipata vizuri, tu.
 
Hilo Lengo la kijeshi wee umelitoa wapi?
Au umeoteshwa?

Special operation ndani ya Ukraine malengo 3
1. Ku-denazify ukraine
2. Kuyakomboa majimbo ya donbass,luhansk
3. Kukifuta kikundi Cha kinazi Cha AZOV kilichojichimbia uko mariupol na Khakiv

Sasa wewe umeng'ang'ana na Kiev,

Unasahau miji kibao ndani ya Ukraine inatekeketea MDA huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…