Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,276
- 12,780
Mzee wanajeshi wa Ukraine wanapokimbilia kujificha kwenye maeneo ya raia basi maeneo hayo yote yanakua valid military target.Acha arushe hayo mabomu, aharibu majengo, avunje shule, hospitali etc Lakini hizo siyo military targets ni civilian targets na inaonyesha namna Gani jeshi la Urusi lilivyodhaifu. Unashindwa kudeal na askari wa upande mwingine unaenda kuharibu miji!
Wanajeshi wa Ukraine wanashambulia wakiwa wamejificha kwenye mashule/mahospital alafu wanategemea kama yale majengo yatakua kinga kwao juu ya wao kushambuliwa, Russian army ikija kulipiza mashambulizi wanaanza kulalamika kwamba Russia inashambulia maeneo ya raia.