Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaweza kunisaidia kuweka gharama za kila mmoja alizopoteza?Hujajumlisha gharama ya vifaa ambavyo amepoteza, ukiconvert ktk money, ni pesa ndefu imeenda.
Western kungekua na Uhuru wa habar Basi wangeruhusu fair play ktk utoaji wa habari za Vita.Inawezekana unachoongea ,ila Nina hofu na mataifa ya kidictetor maana wako radhi wananchi watembee uchi na kufa njaa ilimrad watimize kile walichokusudia.
Urusi inajali dola yake kuliko wananchi, Urusi hawatakubali wadhindwe ,hata kama itagharimu uchumi kuanguka,hilo kwao halipo, kwenye serikali za kidicteta hakuna uwajibishwaji,kila mtawala anafanya anavyojua, katiba imejaa vumbi, ole wako waziri au kiongoz au media mtangaze urusi ina njaa, Uhuru hakuna, kule media yoyote hairusiwi kuongelea mambo ya serikali, bila kuomba kibali aisee Mimi udicteta siufagilii kabisa
Ninawaona,🤩Tumeshafika
Mtoa mada Yuko very outdated,Mwanzo donesk na luhansk waasi walikuwa wanamiliki nusu ya majimbo.sasa ivi waasi wanamiliki zaidi ya asilimia 70 ya majimbo.Jimbo la Kharkiv nusu linamilikiwa na warusi.jimbo la Zaporizhia asilimia 80 linamilikiwa na warusi.jimbo la kherson warusi wanamiliki asilimia 100.
Sasa hapo mpaka muda huu nani kapata hasara?
😀Wanauchungu na Urusi balaa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We ni kilaza kumbe huelewi ata most of them shot dead..kwa kichwa chako ndo ushindi uo kupiga risasi raiaJuzi urusi kafanya mashambulizi makali Sana kyiv,
Watu zaidi ya 900 wamekufa afu unasema nn wewe[emoji848]
Hivi Mtoa mada unafatilia vyombo vya habari au huwa unaskiliza story za kusimuliwa kijiweni msimbazi kwenye kahawa?View attachment 2193837
Hakika,Wanakunywa konyagi na double kick kisha wanajizima data. Eti lengo "likikua kuikamata kiev na kuangusha serikali" then? Lengo la ukraine ni nini? Askari wake ku surrender? Kuangamizwa miji? Silaha na miundombinu? Ukraine ame archive nini mpaka sasa.?
Acheni uoga, matokeo yatakuja kwa uwazi, saizi mnafichwa na BBC na CNN. Mpaka sasa serikali ya Ukraine haina control na majimbo yote ya mashariki, kuanzia cremea, mariupol donbase nk. Hili hutoambiwa na BBC, watu wamepiga kura kujitoa ukraiane, pale zinaenda kutokea nchi 3. Stay tuned... uongo na ukweli hutengana kama mafuta na maji.
Ha ha ha....[emoji16][emoji16] motivational speakers bana
Majeshi ya urusi yanafanya encycling.Tuwe tunatumia Akili zetu japo kidogo usiweke mahaba tu.....
Hivi unaweza kuteka jiji lenye population million kwa Wanajeshi 20k?
Hakuna anayejua Mrussi anachofanya, baada ya mda ndio unaweza kuelewa alikuwa anawaza nini.
Mfano, Baada ya mda kupita ndio watu tukaelewa kuwa labda alipanga kuyazuia majeshi ya Ukraine from reinforcing miji mingine kwa kuizunguka kiev.
Acha arushe hayo mabomu, aharibu majengo, avunje shule, hospitali etc Lakini hizo siyo military targets ni civilian targets na inaonyesha namna Gani jeshi la Urusi lilivyodhaifu. Unashindwa kudeal na askari wa upande mwingine unaenda kuharibu miji!Urusi anarusha Mvua ya mabomu uko ipryin usiku huuView attachment 2193810View attachment 2193812View attachment 2193814
Mpaka sahv urusi katumia 25% tu ya silaha zote alizopanga kutumia kwenye operation hii ya ukraine.Putin naona kapoteza sana sababu kama ulipanga vita utumie siku 3 halafu kwenye ground ukaenda siku 60+ maana yake umetumia bajet ambayo hukuipanga
Ujeruman Jana katangaza kuishiwa silaha zaidi za kutuma Ukraine,hakuna rais aliyewahi kupigana na nchi zaidi ya 30,na akawa piga na kuwafanya waanze kuomba huruma kwa dunia yote wasaidiwe Vita,ukiacha Hitler ,ni Russia kwa Sasa,hata huyo marekani hajawahi kuingia Vita na nchi 30.
mpaka hapo,hakuna nchi yenye nguvu kijeshi duniani kushinda Russia ,Kama malengo ametimiza yote,kumzuia Ukraine akome kuwaza kuhusu NATO Hilo ametimiza, zelensky kwa ss NATO anaiona Kama sumu kwake na anajuta.pili kaigawa Ukraine izae vi nchi vingine Kama 3 au 4,Hilo amefanikiwa ,tatu Ukraine kwa Sasa haina bahari Tena Hilo amefanikiwa,lkn pia amefanikiwa kumvimbia marekani na kumuonyesha marekani sio super power Tena wa kuamua kila kitu Hilo amefanikiwa. Kiujumla NATO na marekani wamemfanya Russia again confidence zaidi kuwa yy ni taifa lenye nguvu duniani ,kuliko mwanzo.lakini pia hii Vita imeiweka Russia kwenye ramani nyingine kabisa duniani ,kuwa ni taifa pekee linaloweza kumdhibiti marekani na NATO yake ,na kubadili upepo wa world order!!!!
Sasa tunaelekea uelekeo wa new world order,na aliye i lonch ni Russia ,sio mmalekani tena.ila mtekelezaji ndo hatujui atakuwa Nani au wakina Nani!!
Alipanga wafe askari wake wangapi ktk hii vita?-Mbona wamekufa sana mpaka kuogofyaMpaka sahv urusi katumia 25% tu ya silaha zote alizopanga kutumia kwenye operation hii ya ukraine.
Na Hii Ni kwa mujibu wa pentagon, USA
Kama unabisha fuatilia vyombo vya habar vya west Jana .
Kama huna chanzo Sema nikuletee ushahidi
Sasa kama wanajeshi wanajificha kwenye majengo ya kiraia afanyeje Sasa[emoji3]Acha arushe hayo mabomu, aharibu majengo, avunje shule, hospitali etc Lakini hizo siyo military targets ni civilian targets na inaonyesha namna Gani jeshi la Urusi lilivyodhaifu. Unashindwa kudeal na askari wa upande mwingine unaenda kuharibu miji!
Umoja wa Wayahudi duniani kamwe hauwezi kumuacha Myahudi mwenzao Zelensky aangushwe!Ujeruman Jana katangaza kuishiwa silaha zaidi za kutuma Ukraine,
Pentagon Jana wanasema Putin keshatumia 25% TU ya silaha zote alizopanga kutumia kwny Hii operation
Uingereza wamesema zaidi ya zile javellin hawana silaha Zaid za kutuma uko ukrine
PUTIN ANAWAKIMBIZA MCHAKA MCHAKA