SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Watoto wa mnyaazi hizi story mnazipenda sana
Kuna mmoja akaja na uzi wake hapa kuhusu mtu mmoja kupatikana kwenye vifusi huko Uturuki mwezi mmoja baada ya tetemeko.

Nikamwambia mbona hata hapa nyumbani Tanzania imeshawahi kutokea Kahama jamaa walifukiwa na kifusi wakati wanachimba dhahabu kienyeji wakakaa chini miezi miwili ½ wakila mende na mizizi na wadudu wengine akaishia kuniita kafir
 
Hizo nchi za ukaanda huo zimekaa pabaya....ni kama ugonjwa aa ukimwi ulipokaa...
 
Unataka kusema kijiji kizima kulikuwa na msikiti mmoja tu huo uliobaki? Ujenzi wake ulikuwa imara ishia hapo
 
HAO walionusurika ni Wafuasi wa shetani!
Waliokufa allah amewapenda ili waende Sardaus mapema wakale bata kabla hawaja kengeuka Humu duniani!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Miezi michache imepita Tetemeko -uturuki ,likaenda piga Morocco,jana Libya imepigwa na mafuriko watu 2000 wamekufa

Ni Mwendo wa Mapigo tu kwa Waarabu mpk wamrudie Mungu wa Kweli[emoji56]

Umeongea utumbo mkubwa fala wewe.majanga hayachagui eneo
Tanzania tetemeko lishatokea.ulaya ndio kila cku mara vimbunga mara moto na yote hayo yakitokea tunatoa pole sio kauli hizi
 
Lakin misikiti mingine imepotea
 
Pamoja na picha ulizoweka hapa tunahitaji chanzo cha hii taarifa ili tukajifunze zaidi.
 
Huyo aliyejenga msikiti atakuwa ndiye kawatupia wenzie tetemeko

mwanga huyo

Anataka abaki peke yake na msikiti wake
 
Mwamba alikua anaiba material anakuja kujengea kwake. Leo kaumbuka.
 
Misikiti au makanisa hujengwa kwa uimara madhubuti zaidi possible hata hiyo nyumba yake aliijenga kwa uimara madhubuti huyo mjenzi.
Local belief zisijiingize hapa
 
pole yao sana kwakweli!!!!
 
Wakati mwingine tunaweza kufikir Kumsaidia Mungu kueneza kwa Nguvu zote ukuu wake kumbe tunamtukanisha mbele za watu tu...
Hii picha sio ya leo ina miaka zaidi ya tisa
 
Kama hiko Kijiji kuliua na msikiti mmoja tu, sifa ziende kwa Allah
 
Miezi michache imepita Tetemeko -uturuki ,likaenda piga Morocco,jana Libya imepigwa na mafuriko watu 2000 wamekufa

Ni Mwendo wa Mapigo tu kwa Waarabu mpk wamrudie Mungu wa Kweli😇
Maasi yamezidi
 
Wewe katika janga loote umeona uje na hili la Udini?
Yaani unatumia majanga kuleta propaganda za udini?
Hizo takwimu za watu waliofariki Kutokana na hilo tetemeko umeziokota source ipi maana kwa vyombo vinavyoendelea kuripoti hatujaona mahali wamesema imefikia idadi hiyo?
Au kuna TV [emoji342] Islam ambayo unapata taarifa wewe binafsi?
 
Allah Akbar, Mungu mkubwa sana.
 
Miezi michache imepita Tetemeko -uturuki ,likaenda piga Morocco,jana Libya imepigwa na mafuriko watu 2000 wamekufa

Ni Mwendo wa Mapigo tu kwa Waarabu mpk wamrudie Mungu wa Kweli[emoji56]
Nidio kusema wako na makosa mengi kwa mungu wewe umsafi ndio maana upatwi na mikasa?
 
Wamoroco wamegomea misaada ya waafrika.
Yanakuja matetemeko wataita maji mma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…