Kijivideo: Masogange akiwa nyumbani kwake Makongo

amejiuza south Africa mpaka wamemchoka huyo aliempamgishia nyumba huko Makongo sijui ana akili gani aisee....kiongozi mzima kumpangishia nyumba huyu ni kujidhalilisha tu
Kwani inaharibikaga?
 
kuna tofauti kati ya umbeya na umbea
 
Mshamba wa bara anasaliti ndoa Yake na kahaba mkubwa... Halafu anajiita mcha mungu!
una uhakika au unaropoka ujinga tu,acheni upuuzi wenu mnaongea vitu avina ushahidi,wema kakutwa na madawa ya kulevya aina ya bangi,bangi hairuhusiwi hapa kwetu hivyo ni lazima tumfikishe mahakamani sheria ichue mkondo wake
 
Acha hizo ndugu! Huoni hata aibu kuongea hayo unayoyasema! Eti kakutwa na madawa ya kulevya! Eti sheria ifuate mkondo wake!
 
Uongozi ni kazi kweli..

Hivi mke wa mpambanaji wetu, mungu wa dar akisikia tuhuma za huyu binti kupangiwa kajumba anapika kweli??
Hiyo ndiyo gharama ya kuchokoza nyuki mengi yatasemwa lakini vita ni mbele kwa mbele
 
bangr ni nini?
Bangi ni sigara tu... Msokoto mmoja na lizla zinazouzwa madukani ndiyo unamkamata bibie eti anahusika Na madawa ya kulevya! My foot! Malaya wake, kahaba wa kutupa ameshakamatwa na madawa halisi Ya kulevya tena shehena kubwa! Mbona hajamkamata!
 
kaanza na wema wengine wanafuata

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…