Kijivideo: Masogange akiwa nyumbani kwake Makongo

Kijivideo: Masogange akiwa nyumbani kwake Makongo

Kuongea vitu visivyo na ushahidi ni umasikini wa kifikra, haina tofauti na umbeyaa.

Watoto wa kiume mnakuwa wambeyaa kiasi hiki kuliko hata dada zenu..!? Ni hatari kwa Taifa.

Tunajua wauza madawa nao ni watu wenye uwezo hivyo lazima wamchafue Mh mkuu wetu wa Mkoa, napenda kumwambia, Watanzania Wanyonge tupo nyuma yake na Mungu atambariki kufikia lengo lake.

Hata kama kapanga nyumba makongo sio shida kwa sababu pengine kapanga ili apate taarifa na mtandao mzima wa mashetani yanayo tuletea madawa ya kulevya.

Watanzania tunatakiwa tuipe dola nafasi, kwa style hii tutawavunja nguvu watetezi wetu na Taifa kuhangamia kabisa na madawa ya kulevya.

NB kwa faida yenu, hakuna mwanamke anaejua kubembeleza mwanaume, kama mwanamke alie tumika sana na mwenye kilometa nyingi. Ukitaka kuenjoy barabara tafuta Gari lenye engine kubwa kama V8.
kuna tofauti kati ya umbeya na umbea
 
Mshamba wa bara anasaliti ndoa Yake na kahaba mkubwa... Halafu anajiita mcha mungu!
una uhakika au unaropoka ujinga tu,acheni upuuzi wenu mnaongea vitu avina ushahidi,wema kakutwa na madawa ya kulevya aina ya bangi,bangi hairuhusiwi hapa kwetu hivyo ni lazima tumfikishe mahakamani sheria ichue mkondo wake
 
Acha hizo ndugu! Huoni hata aibu kuongea hayo unayoyasema! Eti kakutwa na madawa ya kulevya! Eti sheria ifuate mkondo wake!
 
Uongozi ni kazi kweli..

Hivi mke wa mpambanaji wetu, mungu wa dar akisikia tuhuma za huyu binti kupangiwa kajumba anapika kweli??
Hiyo ndiyo gharama ya kuchokoza nyuki mengi yatasemwa lakini vita ni mbele kwa mbele
 
bangr ni nini?
Bangi ni sigara tu... Msokoto mmoja na lizla zinazouzwa madukani ndiyo unamkamata bibie eti anahusika Na madawa ya kulevya! My foot! Malaya wake, kahaba wa kutupa ameshakamatwa na madawa halisi Ya kulevya tena shehena kubwa! Mbona hajamkamata!
 
kaanza na wema wengine wanafuata

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom