Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
- Thread starter
-
- #61
Eti umemalizana na mm, nipo jukwaa la wakubwa na nitakuwepo siku zoteSoma vizuri uone avatar ninayoizungumzia. Unafiki wako uko wazi sasa na umeshapoteza credibility. Nobody will take you seriously no more. Huna moral authority ya kumnyoosha ye yote. Hasa hasa utageuka na kuwa case study ya unafiki wa nyie wafia dini.
Nyoosha kwanza maisha yako ya kiroho na uachane na hii misplaced belief kwamba kwa vile unasali Jumamosi na kushika hii misheria ya Kifarisayo basi mbingu ni yako na wengine wote wamepotea.
Nadhani nimeshamalizana nawe and I am out. Kazania masomo yako; na Mungu Akusaidie na kukuonyesha njia. Ubarikiwe!!!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji87]Nyamaza ***** asingekuwa mheshimiwa sana SHIMBA YA BUYENZE ningeendelea kukuona msabato swafi!! Btw dogo usiniquote tena nenda huko fb.
Ellen G. White!"Kanisa Katoliki... lina hofu kuu ya kumwaga damu. Hata hivyo, linapokabiliwa na UZUSHI [HERESY]... LINALAZIMIKA KUTUMIA NGUVU, kutoa adhabu ya kupigwa viboko mwilini, na KUTESA. Linaunda mahakama kama ile ya Inkwizisheni (Inquisition). Linatumia SHERIA ZA SERIKALI kulisaidia... Lilifanya hivyo hasa katika karne ile ya 16 kuhusiana na WAPROTESTANTI... Katika nchi ya Ufaransa, chini ya [wafalme] Francis I na Henry II, katika
nchi ya Uingereza chini ya (Malkia) Mary Tudor, [Kanisa Katoliki] liliwatesa wazushi."
Maneno haya yamenukuliwa kutoka katika kitabu cha 'THE CATHOLIC CHURCH, THE RENAISSANCE AND PROTESTANTISM', uk.182-184
Sio cha ELLEN G. WHITE HIKIEllen G. White!
Naomba link ya kitabu au PDF
unakosea mdau, kwanza hapa aujaja kwa dhumuni la kubishana ni kuelimishaSometimes Jf unabishana bila kujua na vitoto ambavyo bado ubongo una_undergo maturity phase
Eti umemalizana na mm, nipo jukwaa la wakubwa na nitakuwepo siku zote
Imekuuma enhee,
Nitawanyoosha tu,
Acha kubwabwajaWaroma walitesa watu, pia
nchi za kiislam (uislam) ulitesa/unatesa watu
Nchi za kibepari zilitesa na zinatesa watu na
nchi za kijamaa (socialism) zilitesa na zinatesa watu
Zote hapo ukatili ni uleule na vimetabiliwa kwenye bible. unatambua hilo!!?
HIZO NI NGUVU ZILIZOGAWIKA KATIKA MAKUNDI MAKUU 4 NA KIA KUNDI LINA RANGI YAKE INAYOJITAMBULISHA, Imeonyeshwa kwenye ufunuo; japo ukipita juu juu hutaambulia kitu utabaki kuokoteza, rangi zao ni
Uislam rangi kijani iliyopauka (angalia bebdera zao)
Socialism rangi nyekundu (angalia bendera za Urusi, China)
Ubepari Rangi nyeusi na Ukatoliki rangi nyeupe
Hizo nguvu zinafanya kazi inayofanana,
ILA KWA SABABU HUJUI KITU UNADAKA VYA KUoKOTEZA UNALETA HUMU WASIOELEWA ndio wapotee zaidi
uongo mwingine wa kitabu kilichotungwa na wazunguMkuu Yesu akiwa na miaka kati ya 12 alibishana na wazee wa dini hadi wakamuogopa
Ukirukia huku ...nipo na wewe..Acha kubwabwaja
Wote hao hakuna aliyeua weng kama RC
Rc imeua zaid ya watu mil 100 unalijua hilo au unabwabwaja tu
YHWH IS GOOD
Kina nani hao watataka kuelewa...? Labda Wasabatobinadamu ukivika uwendawazimu pale na kupofusha fikra zao, kufunga akili zao ili isikubali kupokea elimu inayojarbu kiwatoa kifungoni kwa mgongo wa kuamini.........Good AROON toa somo kwa wenye kutaka kuelewa wataelewa
Sent from my SM-A500FU using JamiiForums mobile app
wewe mwanafunziGood AROON toa somo kwa wenye kutaka kuelewa wataelewa
NAMSHANGAA HUYU MSABATO NA ROMAN CATHOLIC EVERY TIME. DONT YOU HAVE OTHER BUSINESS TO GO THROUGH? I ONCE SAID YOU HAVE TO GET A LESSON ABOUT THE ORIGIN OF RELIGION. YOU KNOW NOTHING. I AM A MUSLIM BUT I DONT SUPPORT WHAT YOU ALWAYS SAY.Aanze kwanza kujinyoosha yeye na hamu yake ya kingono.
Umejibiwa huelewiwewe mwanafunzi
ivi vipolo hapa chini mwalimu wako hajaleta majibu mpaka leo
msaidie mwali wako kujibu ivo vipolo
SWALI: nini maana ya KUABUDU,
naomba mambo 7 tu ambayo yakifanywa mtu juu ya kitu fulani huonesha kuwa mtu huyo ANAKIBUDU ICHO KITU (yamo ndani ya hiyo biblia yako, unayojidai kuwa unautalamu nayo) ??????????????????????????
SWALI: ukisoma Kumb. 20:3 – 5, mungu amekatazwa kuchonga sanamu
ila Mungu huyo huyo aliyewakataza Waisraeli kuchonga sanamu, mbele kidogo anamwagiza Musa huyo huyo kuchonga sanamu ya makerubi katika sanduku la Agano (makerubi ni vitu vya mbinguni) ( Kumb. 25:18 – 20, Ebr. 9:5). Hapa Mungu ameonekana kutengua kile ambacho alisema pale mwanzoni kuwa wasichonge sanamu yoyote........... NAOMBA MAELEZO ????????????
SWALI: Kama haitoshi, ukienda mbele kidogo ya kitabu hicho cha Kumbukumbu la Torati Mungua anafanya mchezo wa hatari zaidi wa kumwambia Musa achonge nyoka wa shaba (kitu cha duniani) na kumweka kwenye mti na kila amtazamaye angepona. (Hes. 21: 8-9, Yoh. 3:14 – 15)...............NAOMBA MAELEZO ????????????
SWALI: picha/sanamu ambazo umetundika hapo ndani kwako au izo zilizo ndani ya simu yako au ambazo huwa unapiga kwenye masherehe NI ZA NINI ? (wakati biblia yenyewe inakataza hata kuzichonga/kuzitengeneza)
AU IZO PICHA ZA MCHUMBA WAKO/ MKE WAKO / RAFIKI/ NDUGU WA KARIBU AMBAZO HUWA UNAZIBUSUBUSU ZENYEWE SI SANAMU ???
NAOMBA MAELEZO...............................
SWALI: picha mlizotundika kwenye kuta za hapo kanisani kwenu unakosalia ni za nini (wakati biblia yenyewe inakataza hata kuzichonga/kuzitengeneza) ???????
mmedai kuwa wakatoliki wamenyofoa amri ya pili na kuiweka kando
Nanukuu (kutoka 20:3-5)
3“Usiwe na miungu mingine ila mimi. 4“Usijifanyie sanamu ya kuchonga katika umbo la kitu cho chote kilicho juu mbinguni au duniani chini au ndani ya maji. 5Usivisujudie au kuviabudu”
SWALI : naomba tofauti ya kimaana au ya neno kwa neno ya hiyo aya ya tatu(AMRI YA KWANZA) na iyo aya ya nne (AMRI YA PILI, UNAYODAI TUMEINYOFOA)???????????
SWALI: Naomba unieleze/unipe sababu ni kwanini Yule kijana myahudi alimuuliza yesu kuwa AMRI ILIYO KUU IPI ???????????????
SWALI: naomba unieleze ni kwa nini yesu alipoulizwa kuhusu amri za mungu, yeye hakuanza kama unavodai wewe ila alianza kutaja kwa kuanzia na amri ya tano, au mfululizo(arrangement) unaoudai wewe hakuwa anaujua naomba maelezo ????????
NA UKIKOSA MAJIBU USIRUDI