Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu



Mdogo wangu esimon
Uislam ulikuepo tangu enzi za nabii Adam A.S
Ndio dini ya kwanza na ya mwisho kuwepo katika uso wa dunia hii.

Ama kuhusu swali lako la pili siwezi kukujibu kwa sababu, unasema
"kwanini tukiswali tunaeleke huko"
Neno "tuki" maana yake na wewe pia umeji jumuisha. Bila shaka wewe ni muislamu.
Hivo lazima utakua unajua sababu.

Sasa kama wewe ni Kafiri, kwanini useme "Tukiswali"
 
din ip ulitambua kuwa ni ya haki

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app


Swali hili nimelijibu zaidi ya mara saba sasa.
Tatizo mnatumia smartphone za laki na ishirini.
Zinawasumbua ku load pages kwa ufanisi
 
Sio Padri tena kwa sasa.
Nilikua Padri wa dhehebu moja pendwa Parokia ya Itigi Singida.
Baada ya kutambua dini ya haki, nikaachana na utumishi.
Dini yako ni ipi kwa sasa

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
je hayo matusi unaruhusiwa kwenye dini ya haki?
 
We Padre Feki

Huna Loloteee, kilichokukimbiza ni Uliona mwenye Ndoa wanafurahia Papuchi

Papuchio ni Tamu we humwoni Dr Slaaa, sasa anajilia Papuchi ya Kihaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…