Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Relgion-of-peace-verses.png
 
Naomba unijibu haya maswali yangu :-
1.uislam ulikuwepo kabla au baada ya mtume?
2.Je alkaaba ni nn kwann tukiswali tunaeleke huko na ndani yake kuna nn
Jibu hayo kwanza ustadhi alafu tuendelee na mada

Sent from my HUAWEI CUN-U29 using JamiiForums mobile app


Mdogo wangu esimon
Uislam ulikuepo tangu enzi za nabii Adam A.S
Ndio dini ya kwanza na ya mwisho kuwepo katika uso wa dunia hii.

Ama kuhusu swali lako la pili siwezi kukujibu kwa sababu, unasema
"kwanini tukiswali tunaeleke huko"
Neno "tuki" maana yake na wewe pia umeji jumuisha. Bila shaka wewe ni muislamu.
Hivo lazima utakua unajua sababu.

Sasa kama wewe ni Kafiri, kwanini useme "Tukiswali"
 
din ip ulitambua kuwa ni ya haki

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app


Swali hili nimelijibu zaidi ya mara saba sasa.
Tatizo mnatumia smartphone za laki na ishirini.
Zinawasumbua ku load pages kwa ufanisi
 
Naam. Swali zuri sana dada yangu poa tu
Ndio maana nikaitwa Mcharo Mcharuko.
Ni mtu wa misimamo sana, sipendi uababishaji.
Nikiona ujinga kwenye forum lazima nirushe mvua ya matusi kama kawa.
Ni uzi huu pekee nimejipiga marufuku kutukana.
Otherwise hata wewe hapa kubabake ulikua ule za uso tu.
je hayo matusi unaruhusiwa kwenye dini ya haki?
 
We Padre Feki

Huna Loloteee, kilichokukimbiza ni Uliona mwenye Ndoa wanafurahia Papuchi

Papuchio ni Tamu we humwoni Dr Slaaa, sasa anajilia Papuchi ya Kihaya
 
Back
Top Bottom