Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Asante dada kibumbu
Nilichaguliwa Tabora Boys nikasoma form one na two, kisha nikaacha nikahamia Itaga Seminary.
Sasa kwa hili umezidi Seminary toka lini mwanafunzi akahamia, haipo hiyo, wanaoanza form one ndio watakao maliza form four tena sio wote walio amza form one .

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni kweli kati ya waloandika quran mmoja alikuwa na mashetani?

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app

Hapana.
Qur'an haikuandikwa kama unavofikiri.
Qur'an imeteremshwa kutoka kwa Allah Mungu mmoja.
Watu walihifadhi vichwani na baadae kukusanywa katika maandishi baada ya kifo cha mtume Muhammad SAW
 
Niulize chochote, kuhusu lolote.
Itikadi zangu, attitute yangu nakadhalika.
Sitokutukana, nitakujibu kwa upole

Karibuni.
7a92e651ce9c505a043ebf04b88a95e0.jpg
 
Sasa kwa hili umezidi Seminary toka lini mwanafunzi akahamia, haipo hiyo, wanaoanza form one ndio watakao maliza form four tena sio wote walio amza form one .

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app

Nimesema "nikaacha nikahamia"
Maana yake ni kuwa niliacha form two Tabora Boys na kwenda kuanza upya form one pale Itaga Seminary.
Kichwa maji utamjua tu
 
Eti inasemeka una mwili mkubwa na bichwa kubwa ila akili kisoda?

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app

Sawa. Ni kweli inasemekana.
Ni kama wewe inavosemekana kuwa unamiliki TECNO H6 toleo la tangu mwaka 2013. Simu haipo tena sokoni.
 
Blaza, tatizo jina lako na avatar havioneshi kuwa wewe ni gender ipi.
Nimetumia weledi wangu wa Thelogy kutokana namna ya uandishi wako nika conclude kuwa wewe utakua Mwanamke.

Huna lolote ila umejaa kejeli tu. Wewe unafikiri wote wanaweka avatar zinazoendana na jinsi zao?
 
Sawa. Ni kweli inasemekana.
Ni kama wewe inavosemekana kuwa unamiliki TECNO H6 toleo la tangu mwaka 2013. Simu haipo tena sokoni.
Ni kweli kuwa una swali dini ya magaidi?.
Lakini pia inasemekani ati uliacha ukristo maana wewe siyo padre kisa uliendekeza kupumuliwa ?

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Kama wewe ni MCHARUKO basi ulikoenda ndiko mahala pako.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom