pricaso
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 247
- 295
Sasa kwa hili umezidi Seminary toka lini mwanafunzi akahamia, haipo hiyo, wanaoanza form one ndio watakao maliza form four tena sio wote walio amza form one .Asante dada kibumbu
Nilichaguliwa Tabora Boys nikasoma form one na two, kisha nikaacha nikahamia Itaga Seminary.
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app