Sasa kwa hili umezidi Seminary toka lini mwanafunzi akahamia, haipo hiyo, wanaoanza form one ndio watakao maliza form four tena sio wote walio amza form one .Asante dada kibumbu
Nilichaguliwa Tabora Boys nikasoma form one na two, kisha nikaacha nikahamia Itaga Seminary.
Hivi ni kweli kati ya waloandika quran mmoja alikuwa na mashetani?
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Niulize chochote, kuhusu lolote.
Itikadi zangu, attitute yangu nakadhalika.
Sitokutukana, nitakujibu kwa upole
Karibuni.
Sasa kwa hili umezidi Seminary toka lini mwanafunzi akahamia, haipo hiyo, wanaoanza form one ndio watakao maliza form four tena sio wote walio amza form one .
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Kwenye dini yako mpya uwongo unaruhusiwa?
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Ntumie email yako nkutumieHivi unaweza kunielekeza ni wapi nitaweza pata kile kitabu cha Enoch?
Unaamini kwamba Mungu yupo?
Kwa nini unaamini hivyo unavyoamini?
Hivi wewe na yule Chief Eng ni ndugu?
kashakwambia kabla ya upadre alikua muhuni, je unaamini uhuni umemuisha
Nitajie vigezo vitatu vya kujiunga na seminari.Nimesema "nikaacha nikahamia"
Maana yake ni kuwa niliacha form two Tabora Boys na kwenda kuanza upya form one pale Itaga Seminary.
Kichwa maji utamjua tu
Eti inasemeka una mwili mkubwa na bichwa kubwa ila akili kisoda?
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
asanteHauwezi kumuisha mkuu
Naomba majibu kwenye image nilizoweka kuhusu hii dini yetu ya haki.Niulize chochote, kuhusu lolote.
Itikadi zangu, attitute yangu nakadhalika.
Sitokutukana, nitakujibu kwa upole
Karibuni.
Blaza, tatizo jina lako na avatar havioneshi kuwa wewe ni gender ipi.
Nimetumia weledi wangu wa Thelogy kutokana namna ya uandishi wako nika conclude kuwa wewe utakua Mwanamke.
Ni kweli kuwa una swali dini ya magaidi?.Sawa. Ni kweli inasemekana.
Ni kama wewe inavosemekana kuwa unamiliki TECNO H6 toleo la tangu mwaka 2013. Simu haipo tena sokoni.
Sawa. Ni kweli inasemekana.
Ni kama wewe inavosemekana kuwa unamiliki TECNO H6 toleo la tangu mwaka 2013. Simu haipo tena sokoni.
kiukweli sikufurahii kabisa .. kukupenda sina hakika padri