miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
hayaOohh... Alhamdulillahi.
Nilijua hunipendi.
Hilo la kutonifurahia sijali sana.
Nitajie vigezo vitatu vya kujiunga na seminari.
Ha ha haaaa nimechekaa. Ungekuwa bado padri ningekufukuzia walai..tatizo sasa hivi umeshaonjaonja sanaAsante dada yangu Cookie Smokey
Ndio nitakubali.
Kadri ya maelezo yako umeelezea kwamba ulihama tabora boys ukiwa kidato cha pili, na kuhamia seminari "r" kwa kuanza kidato cha kwanza.
Sasa nitajie vigezo vya kujiunga na seminari ndogo.(kidato cha kwanza, mpaka kidato cha nne)
kofia ya uaskofu avalishwe na nani? hv unaona kama zipo timamu kweli huyu??Iyo avatar n wewe?
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Simple sana.
Padri ulisomeshwa na kanisa ile 15% bodi ya mkopo unakatwa ulikopa wapi?
Wacha unguruwe wako weweUnanitukana ili namie nikutukane??
Sema, uone navoku poromoshea mvua ya matusi hapa mpaka uimbe:
Ndiki Ndikika
Nilikopa kutoka HESLB.
Wakati nasoma degree yangu ya pili ya Conputer Science through distance learning.
Uliisoma mwaka gani? hiyo Conputer Science?
Upadre ulianza rasmi mwaka gani?
Mimi ni mwanaume acha ujinga wako usitake kuamsha hasira za watu ktk uzi wako
Kwasababu wako ni wakishoga shoga ndio maana unashindwa kutumia akili uliyopewa na MuumbaSasa mbona uandishi wako wa kike kike.
Badilika blaza
Padri Mchalo, nimeamua kukupa like katika post yako, je unaweza kuniambia nimevutiwa na nini kufikia maamuzi hayo...!
Naomba unijibu tafadhali...