Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kadri ya maelezo yako umeelezea kwamba ulihama tabora boys ukiwa kidato cha pili, na kuhamia seminari "r" kwa kuanza kidato cha kwanza.

Sasa nitajie vigezo vya kujiunga na seminari ndogo.(kidato cha kwanza, mpaka kidato cha nne)
 
Simple sana.
 
Padri ulisomeshwa na kanisa ile 15% bodi ya mkopo unakatwa ulikopa wapi?
 
Padri ulisomeshwa na kanisa ile 15% bodi ya mkopo unakatwa ulikopa wapi?

Nilikopa kutoka HESLB.
Wakati nasoma degree yangu ya pili ya Computer Science through distance learning.
 
Padri Mchalo, nimeamua kukupa like katika post yako, je unaweza kuniambia nimevutiwa na nini kufikia maamuzi hayo...!

Naomba unijibu tafadhali...

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
5fd9ddb6e25bdbb442b84577b48cea83.jpg
 
Uliisoma mwaka gani? hiyo Conputer Science?
Upadre ulianza rasmi mwaka gani?

Dada yangu rubii
Upadri nilianza rasmi mwaka 2009 na kuacha mwaka 2014 mwishon.
Degree ya Computer Science nimesoma mdogo mdogo wakati nikiwa bado Shemasi nilipokua Parokia ya Ngokolo Shinyanga mjini. It was Online based.

Bila shaka sasa umeridhika kabisa na maelezo yangu. Umeniamini sasa
 
Back
Top Bottom