Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Asante sana bwana mdogo lufungulo k

Kabla ya kuwa Padri nilikua muhuni tu kama walivo vijana wengi





Niko dini ya haki




Bado sijaoa.
.
Nimeathiriwa sana na Nyeto.




1.Kabla ya kuwa padri ulikuwa mhuni wakati unadai umeingia huko katika umri wa 15 yrs!
2.Dini ya haki na kamali,nyeto uongo na lugha za ajabuajabu wapi na wapi.

Huyu jamaa sijui hata kama ni Muislam wa kweli. Labda kama kuna kazi katumwa huko imekuwa ngumu..
 
Sijiiti mimi.
Bali waumini wangu ndio wananiita mpaka hivi sasa.
Nilishawaambia zaidi ya mara 105 kuwa higi sasa naitwa: Ustaadh Aziz Deo.
Lakini hawataki kuelewa, sasa mie nifanyeje
Kama hujiiti kwanini kwenye ID umeandika padre, au nayo walikufungulia waumini wako?

.... you can't convince, then confuse....
 
Asante mamdogo GIUSEPPE
Sijaona maswali.
Bali nimeona image zenye maneno
Shehe ushaanza uhanithi sasa, mamdogo ndo nani sasa? Sisi twajua kilicho kupelekaa kwa dini ya haki ni kwasababu ya ruksa ya kuoa wake wengi na ruksa ya kuoa vijitoto na ahadi ya kupata mabikra wa ahera. Hakuna chochote cha maana huko kwenye dini ya haki.
 
Upo kwenye dini ya ili hali unabet

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Naamini Mungu yupo kwa sababu ya kifo.
Siku binadamu akigundua dawa ya kuepukana na Kifo ndipo nitaamini kuwa Mungu hayupo!!!
Kifo kinatakiwa kikufanye uamini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote hayupo.

Kwa sababu angekuwepo asingeachia viumbe vyake anavyovipenda na vinavyopendana vitenganishwe kwa kifo.
 


Okay,
2014-2009 makes 5years hivyo umedumu kama padri rasmi kwa miaka 5 tu

Je Utumishi kwa ujumla (kuanzia masomo hadi Upadri wenyewe) umedumu kwa takriban miaka mingapi??
 
Okay,
2014-2009 makes 5years hivyo umedumu kama padri rasmi kwa miaka 5 tu

Je Utumishi kwa ujumla (kuanzia masomo hadi Upadri wenyewe) umedumu kwa takriban miaka mingapi??


Shule miaka 7.
Ushemasi (Ngokolo Shinyanga) miaka 2.
Upadri wenyewe kabisa miaka 5.
Jumla miaka 14 point something
 





Shule miaka 7.
Ushemasi (Ngokolo Shinyanga) miaka 2.
Upadri wenyewe kabisa miaka 5.
Jumla miaka 14 point something
 
huyu sio (hajawahi kuwa padri)

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Dini yako ya haki inaruhusu kubet

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Dini yako inaruhusu kamari

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Ni wapi biblia haina amani, unapata burudani ukisoma qurani sababu mtume nae alikuwa mcharuko kama ulivyo wewe, muulize max upate habari za mtume.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…