Bernie Fikiri
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 288
- 197
Asante sana bwana mdogo lufungulo k
Kabla ya kuwa Padri nilikua muhuni tu kama walivo vijana wengi
Niko dini ya haki
Bado sijaoa.
.
Nimeathiriwa sana na Nyeto.
Umri wangu ni miaka kati ya 20 na 50
Kwa sasa nina degree mbili.
Theology (from Amsterdam Nethelands)
Computer Science (distance learning from Cambridge University)
MBA in Oil and Gas from UDSM (ON GOING)
Utumishi kwa ujumla (kuanzia masomo hadi Upadri wenyewe) nimedumu kwa takriban miaka 13
1.Kabla ya kuwa padri ulikuwa mhuni wakati unadai umeingia huko katika umri wa 15 yrs!
2.Dini ya haki na kamali,nyeto uongo na lugha za ajabuajabu wapi na wapi.
Huyu jamaa sijui hata kama ni Muislam wa kweli. Labda kama kuna kazi katumwa huko imekuwa ngumu..