Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Huyu sio padre Na hajawahi kua padre

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kama Mimi! Hadi hapo nimekuelewa ukisema dini ya haqi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Padri Mcharo nakuhitaji huku kwa nini unabeti wakati dini ya kiislamu inakataza waumini wake kubeti?
"MAGIC CASTER"
 
Kuna vitu vingi sana natofautiana na wakatoliki katika ukristo lakini nahisi hujakutana na Yesu aliye hai kwa Yesu kuna raha jamani , ipo siku nataka ukutane nae kama Zakayo! Tunakuombea!

Hata hivyo si lazima reference ya imani yako iwe Kanisa Katoliki. Unaweza ukaamua tu kuwa na kanisa lako na ukalipa jina unalotaka, na ukafundisha unachotaka, bila hata kuchungulia Wakatoliki wanafanya nini. Bado utapata wafuasi tu, usihofu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Cc.Pdidy

google Pixel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…