Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kuna vitu vingi sana natofautiana na wakatoliki katika ukristo lakini nahisi hujakutana na Yesu aliye hai kwa Yesu kuna raha jamani , ipo siku nataka ukutane nae kama Zakayo! Tunakuombea!

Naheshimu mawazo yako sina swali mana uliangaika kuuliza maaskofu ndo mama ukapotea ungekaa chini ukaruhusu roho mtakatifu azungumze nawe akufundishe haswa nini cha kufanya ungekuwa mbali hata hivyo ' mavuno ni mengi watendakazi ni wachache'.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Huyu sio padre Na hajawahi kua padre

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Padri kwa sababu nilishawahi kuwa Padri nimetumikia Parokia ya Itigi Singida kwa takriban miaka 7 na ushee.
Nenda pale Itigi utakuta habari zangu.

Mcharo kwa sababu ya misimamo yangu kiimani. Mimi ni mcharuko kweli linapokuja suala la upelekeshwa kwenye masuala ya dini.
Tangu nitambue dini ya haki niliachana kabisa na mambo ya utumishi.
Japo kanisa ndio lilinisomesha kwa mamilioni ya pesa
Wewe kama Mimi! Hadi hapo nimekuelewa ukisema dini ya haqi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Padri Mcharo nakuhitaji huku kwa nini unabeti wakati dini ya kiislamu inakataza waumini wake kubeti?
"MAGIC CASTER"
 
Kuna vitu vingi sana natofautiana na wakatoliki katika ukristo lakini nahisi hujakutana na Yesu aliye hai kwa Yesu kuna raha jamani , ipo siku nataka ukutane nae kama Zakayo! Tunakuombea!

Hata hivyo si lazima reference ya imani yako iwe Kanisa Katoliki. Unaweza ukaamua tu kuwa na kanisa lako na ukalipa jina unalotaka, na ukafundisha unachotaka, bila hata kuchungulia Wakatoliki wanafanya nini. Bado utapata wafuasi tu, usihofu
 
Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Cc.Pdidy

google Pixel
 
Back
Top Bottom