Kusikia hivyo tu ndio ukajua dini ya haki?Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.
Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Manabii wa uwongo ndio hao sasa.
Sent from my itel it1550 using JamiiForums mobile app
Kusikia hivyo tu ndio ukajua dini ya haki?
Hongera sana Ustaadh mana unachambua mambo kwa weledi mkubwa, endelea kuwa daawa wakuu.
padri hawez kuwa na pumba km hiz,kichwa kimejaa makamasi hicho!Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.
Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Kwanini kwenye jukwaa LA wanaobeti, unapenda kuondika lugha chafu wakati unatakiwa uonyeshe upendo au ukarimu, wewe kama role model
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
wewe lazima zimefyatuka... Umesema 2012 ukafuata dini ya haki alafu gwajima kaongea habari za maharage mwaka 2015/16. Unaakili za form two na hakuna padri mwenye akili ya hiviPadri Mcharo Mcharuko.
Nilikua Padri mwenye misimamo sana.
Padri pekee niliemsapoti Askofu Gwajey kipindi kile cha sijui amekula maharagwe ya wapi yuleeeee
padri hawez kuwa na pumba km hiz,kichwa kimejaa makamasi hicho!
hapa ndo nimeona uwezo mdogo kichwan unatafuta kikHaina maana yoyote, ni mbwembwe tu zile.
Masuala mengi sana hata mie nilikua nauliza Maaskofu zangu sipewi majibu yenye mashiko.
Ndio moja ya sababu kuikimbia dini ya binadam na kuhamia dini ya haki
Iyo avatar n wewe?Adhana nilikua naisikia mara kibao.
Siku hiyo ndio nilielewa maana ya hayo maneno yaliyo kwenye adhana.
Naamini hata wewe hujui tafsiri ya yale maneno. Unasikiaga sauti tu.
Sasa kwanini usitumie jina la hiyo dini yako ya haki
wewe lazima zimefyatuka... Umesema 2012 ukafuata dini ya haki alafu gwajima kaongea habari za maharage mwaka 2015/16. Unaakili za form two na hakuna padri mwenye akili ya hivi
hapa ndo nilkuwa namsubir huy "mwehu" alivyojib huu ufyolo nikaon haelew lolote kuhus anachosema!Basi kwa jibu hilo hujui lolote kuhusu upadre.