Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kuna vitu vingi sana natofautiana na wakatoliki katika ukristo lakini nahisi hujakutana na Yesu aliye hai kwa Yesu kuna raha jamani , ipo siku nataka ukutane nae kama Zakayo! Tunakuombea!

Naheshimu mawazo yako sina swali mana uliangaika kuuliza maaskofu ndo mama ukapotea ungekaa chini ukaruhusu roho mtakatifu azungumze nawe akufundishe haswa nini cha kufanya ungekuwa mbali hata hivyo ' mavuno ni mengi watendakazi ni wachache'.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ulikua pepo tu ndo maana uliondoka. Daima ktk ukristo pumba hujiondoa zenyewe. Mtu aliesoma na kutembea kwa kiwango km hicho hawezi kuzungumza ujinga km wako wewe mcharo. Wewe ulikua ni shetani tu uliejipenyeza kanisani. Laana imekupata tyr ndio maana sasa unazungumza vitu visivyoeleweka bd kuokota makopo.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.

Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
padri hawez kuwa na pumba km hiz,kichwa kimejaa makamasi hicho!
 
Kwanini kwenye jukwaa LA wanaobeti, unapenda kuondika lugha chafu wakati unatakiwa uonyeshe upendo au ukarimu, wewe kama role model

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app


Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
 
Padri Mcharo Mcharuko.
Nilikua Padri mwenye misimamo sana.
Padri pekee niliemsapoti Askofu Gwajey kipindi kile cha sijui amekula maharagwe ya wapi yuleeeee
wewe lazima zimefyatuka... Umesema 2012 ukafuata dini ya haki alafu gwajima kaongea habari za maharage mwaka 2015/16. Unaakili za form two na hakuna padri mwenye akili ya hivi
 
wewe lazima zimefyatuka... Umesema 2012 ukafuata dini ya haki alafu gwajima kaongea habari za maharage mwaka 2015/16. Unaakili za form two na hakuna padri mwenye akili ya hivi


Asante kwa umakini wako.
Typing error. Nilikusudia kuandika 2015.
Button ya 2 na 5 zipo karibu sana (juu nyingine kwa chini yake)
 
Mpuuzi tu huyo!


Asante dada rubii kwa ufatiliaji wako.
Tafadhali soma post namba 15 nimejibu vizuri tu.
Bahati yako nimeahidi kuwa Sitotukana mtu hapa.
Otherwise ningekuwashia moto hapa mpaka uimbe "a e i o u"
 
Back
Top Bottom