stargirl
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 462
- 540
Kusikia hivyo tu ndio ukajua dini ya haki?Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.
Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri