My hair my crown
JF-Expert Member
- Feb 5, 2016
- 898
- 2,478
aiseee, yaani bible haina nini? ulikua tatizo wewe sio bible.Kwanza nikuweke sawa, sikuvamia.
Nikiwa na akili zangu timamu niliona haki ilipo nikaifata.
Nikija kwenye swali lako la msingi:
Kwanza amani ya nafsi.
Pili burudani nayopata pindi naposoma Qur'an takatifu.
Maana ni kitabu kisicho na shaka ndani yake.
Nimesoma sana Bible usinione hivi.
Kila nilipokua naisoma nilikua naisoma kwa mashaka mashaka tuu. Haina amani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa nini unafurahia vitendo vya kupiga nyeto??
Mbona sababu rahisi sana hiyo?Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.
Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Coco hivi wewe sio Mzuri Mie kweli?Sawa Padri.
Wewe ni Padri wa parish ipi?
Ulisoma masomo ya dini na baadae pia upadri?
Kwanini unataka tukuulize maswali?
Unasaidiaje watu kama wazee na watoto yatima?
Unaongoza kanisa?
Wahumini unawaomba watoe sadaka mara ngapi kwa wiki?
Unawaumini kama wangapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]somalia lazma wangekupiga pumbu
Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
Kwa nini hiyo dini ya haki inapenda kuchinja watu hadharani tena mbele ya video???Wako wapi.
Kuna sehem nimeandika kuwa mimi ni Nabii.
Au unataka nikuwashie moto hapa hapa!!
Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
Kiongozi,tujadiliane kistaarabu.maana na yeye akipanic sidhan kama itakuwa vizuri.
Ila betting haijawah kumuacha mtu salama.mpaka mapadre na masheikh wanasuka mikeka[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Niulize chochote, kuhusu lolote.
Itikadi zangu, attitute yangu nakadhalika.
Sitokutukana, nitakujibu kwa upole
Karibuni.
Padre umesoma Tabora boys?mi nachojua mapadre wana seminary zao from pre form oneNi kweli.
Kwa sababu Nyeto ndio ilikua msaada wangu mkubwa tangu nikiwa Tabora Boys, Itaga Seminary, UDSM , Amsterdam School of Divinity.
Hujasoma Boarding school wewe???
Magu amesababisha watu wengi wamechizi kweli.
Kazi kweliTeh idadi ya wehu inaongezeka kwa kasi sana
Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.
Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri