Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Ni kweli.
Kwa sababu Nyeto ndio ilikua msaada wangu mkubwa tangu nikiwa Tabora Boys, Itaga Seminary, UDSM , Amsterdam School of Divinity.
Hujasoma Boarding school wewe???
Umeanza!!![emoji115][emoji53][emoji53][emoji53]

Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
 
Ameliamsha dude amekimbia..acha kuchafua dini za watu kaka.Kua mstaarabu dini ya katoliki hauijui..unless ujibu maswali bila kuruka

Sent from my GL07S using JamiiForums mobile app
 
Kutokujibu swali unaloulizwa kwa kinagaubaga...kunakufanya uzidi kuonekana mbumbumbu mbwabwajaji....!

Kuisikia adhana na maneno kuwa sala ni bora kuliko usingizi pekee ndio imekufanya ujustify kuwa hiyo ni dini ya haki yakhee?

Karibu,
 
Ewe Padri Mcharuko mstaafu, hebu jibu kwa mantiki swali nililokuuliza ustadh mpya.
 
Haina maana yoyote, ni mbwembwe tu zile.
Masuala mengi sana hata mie nilikua nauliza Maaskofu zangu sipewi majibu yenye mashiko.
Ndio moja ya sababu kuikimbia dini ya binadam na kuhamia dini ya haki
Unataka pia nikuulize maswali yanayodhihirisha kuwa wewe una usaa katika upande mmoja wa ubongo wako.

Naam zaidi yadhibitishayo kuwa huko ulipo sasa ndipo kuna maajabu zaidi?

Wabillah Tawfiq,
 
Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.

Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri

Padri Mcharo Mcharuko.
Nilikua Padri mwenye misimamo sana.
Padri pekee niliemsapoti Askofu Gwajey kipindi kile cha sijui amekula maharagwe ya wapi yuleeeee
Tukio lipi lilitangulia kati ya hayo mawili?
 
Kazi njema huko kwenye dini ya Allah. Ukimaliza ulichotumwa be back soon. Data unazoprovide kwa wayunani hazijakamilika.
Kumbuka za Makkah pia zinatakiwa. Ukishaiva usisahau kwenda huko!!

Vp za Al aqsa ushazidukua?


Asante bwana Jumong S
Bahati mbaya sijakuelewa kabisa swali lako la msingi ni lipi. Uliza vizuri
 
Huyu jogoo atakuwa alifukuzwa kazi kwa sababu ya umalaya wake

Kwanza mapdri hawana lugha za kipumbavu km zako



Sent from my TECNO-A7 using JamiiForums mobile app
 
Ilikuwaje ukahasi kuchunga kondoo wa bwana?

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
[emoji207] [emoji207] Kondoo?? wapi na wapi!! Sema mabuzi [emoji238] [emoji238] ya bwana paloko
 
hivi ni kweli kua ili uwe padr lazma utoe kafara?


Hapana kabisa, sio kweli.l
Upadri unasomewa, ni taaluma kama taaluma zingine.

Mimi nimeanza kusoma Upadri tangu nikiwa Itaga Seminary Tabora.
Kisha nikaenda Mission ya Kipalapala.

Kisha nikaenda kuchukua degree ya Theology jijini Amsterdam nchini Uholanzi kwa kina Robin Van Persie
 
-ulisomea wapi upadre?
- mlikuwa wangapi?
- nani anatoa daraja la upadre
- nani mwenye uwezo was kukuvua upadre
- yesu katajwa Mara ngapi? Mwenye korani/Muhammad naye katajwa Mara ngapi?
- Koran inamtamua yesu kwa majina gani?
- wanawake wangapi wametajwa kwa majina kwenye korani wataje?
-kabla ya kuwa padre ulikuwa nani?
- mwaka gani? Ulihitimu upadre na wapi?
- nini? Maana ya mwaka A mwaka B na Mwaka C ktk kanisa na kwann iko hivyo
Mkuu, akikujibu usiniite maana hakutakuwa na majibu hapo itakuwa vumbi tupu. Ila asipo kujibu usisite kuniambia kuwa kashindwa.

Sent from my HTC Desire 501 dual sim using JamiiForums mobile app
 
Anajichanganya kinoma mtu muongo utamjua tu


Ni typing error ya kawaida tu.
Nililenga kuandika 2015, sasa bahati mbaya nikabonyeza 2 badala ya 5.
Ni sawa mtu kuandika Mkunndu wa ndizi badala ya Mkungu wa ndizi
 
Back
Top Bottom