jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
naona unanipenda kweli, jina langu halikauki kinywani mwakoHakika wewe ni mwanamke makini sana.
Hakuna cha rubii Miss Natafuta wala jje's
Wote hawaingii hata robo kwako.
Lakini dada yangu, hapo kwenye **** umeandika kitu gani??
Bila shaka hilo ni tusi. Labda uliandika **** kimakosa ukimaanisha Kuna.
Waumini wangu na Mapadri wenzangu niko nao peace kabisa. Na ni wengi niliwashawishi kuachana na ukafiri na kuifata haki ilipo.