Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We sio Deo kisandu kweliSijiiti mimi.
Bali waumini wangu ndio wananiita mpaka hivi sasa.
Nilishawaambia zaidi ya mara 105 kuwa higi sasa naitwa: Ustaadh Aziz Deo.
Lakini hawataki kuelewa, sasa mie nifanyeje
Sijiiti mimi Deo.gratius kisandu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji117] [emoji117]
Hawa watu bwana basi tu ila hvi ni kwanini wakatoliki amuoi wala kuolewa wakati Mungu alisema watu wazae na kujaza dunia ? Hivi mkisikia hamu ni kwamba mnajikaza au mnapiga nyeto ?
Haingii akilin kumwambia mtu mzima kuwa et hii ndo sababu ya kuhama din, wewe ongea ukweli kwanini ulihama dinNakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.
Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Hawa watu bwana basi tu ila hvi ni kwanini wakatoliki amuoi wala kuolewa wakati Mungu alisema watu wazae na kujaza dunia ? Hivi mkisikia hamu ni kwamba mnajikaza au mnapiga nyeto ?
Padre/ustadhi anasema kubabakeSikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
Hapana mkuu kwani maandiko yanasemaje baada ya Mungu kumuumba Adam na Awa ? Hao wagumba walikuwepo tokea zamani hivi unakumbuka kisa cha mke wa Elkana ambaye alikuwa mgumba lakini baada ya kumuomba Mungu alimpatia mtoto wa kiume . Kitabu cha 1samweli 1. Endelea kusoma zaidi.Kumbe alisema tukazae na yet kuna wagumba pia matasa, hao sio watu wake?
Nimecheka sana asee nimekumbuka siku moja kikwete alitusalimia kwa kutuita oya washikaji mambo ! Niliwaza sana aina ya rais tuliokuwa nayo ila kwasasa nimegundua alikuwa mtu wa aina gani yule mswahili .Padre/ustadhi anasema kubabake
Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu kwani maandiko yanasemaje baada ya Mungu kumuumba Adam na Awa ? Hao wagumba walikuwepo tokea zamani hivi unakumbuka kisa cha mke wa Elkana ambaye alikuwa mgumba lakini baada ya kumuomba Mungu alimpatia mtoto wa kiume . Kitabu cha 1samweli 1. Endelea kusoma zaidi.
Hili Jamaa jinga kinoma. Yaani halijitambuiMuongo asiye na kumbukumbu
Sijataja neno Uislam hapo umeliingizaje neno hilo narudia swali kama hukuliona vzrHakuna kitu kinachoitwa Koran katika Uislamu.
Nashangaa wapi?nimetaja UISLAM swali dogo unajichanganya ndo utakuwa Padri haya narudiaHakuna kitu kinachoitwa Koran katika Uislamu.
Sorry mkuu HAWA or Eve . Alafu dizaini kama unanipumzikia hapa.Awa ndio nani?
Kwanza napenda kutoa samahani kwako binafsi na wote waliofuatilia maswali haya.Asante sana bwana mdogo lufungulo k
Maswali yako mengi nimeyajibu page ya pili.
Hapa nakujibu baadhi ambayo hayapo kule.
Upadri ni mchakato, lakini kama kuhitimu basi nimehitimu chuo cha Theology kiitwacho Amsterdam House of Evangelists kipo nchini Uholanzi.
Tulikua wanafunzi 26 kutoka nchi 21.
Mwafrika (mtu mweusi) nilikua peke yangu.
Kabla ya kuwa Padri nilikua muhuni tu kama walivo vijana wengi.
Mwisho kabisa, kwenye Uislamu hakuna kitu kiitwacho Korani
cc: God Heals and halloperidon
he ustaadh unabet?Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
he ustaadh unabet?Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
Ahsante Mtumishi wa Mungu, usilolijua si vyema ukalitolea maelezo.Kwa kweli sijajua kwanini umelike.
Ufike Milan usifike Vatican? Inafikirisha.Hapana sijawahi.
Lakini nimefika sehemu nyingi sana mfano Jerusalem, Maccabi, Tel Aviv, Amsterdam (niliposomea degree yangu ya Theology), Sao Paulo, Milan, Catalunya (Barcelona)
Hapa Africa nimetembea karibu nchi zote isipokua Somalia tu