Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Ewe Aunt mcharuko....usianze kuleta tabia ya nduguyo Maimuna t*ako laini...kuutwa kujifungasha baibui lakini udhu anausikia kwa wenzie...!Dada yangu Azarel
Maswali yote nimejibu kwa ufasaha.
Ukiona sijajibu swali lako au mtu mwingine, ujue swali hilo halina kichwa, miguu wala matako.
Unaweza kuonesha ukosefu wa kichwa na miguu katika swali langu yakhee?
Usimwage viroja leta critical hoja sheikh,
Karibu.