Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kwanza nikuweke sawa, sikuvamia.
Nikiwa na akili zangu timamu niliona haki ilipo nikaifata.

Nikija kwenye swali lako la msingi:
Kwanza amani ya nafsi.
Pili burudani nayopata pindi naposoma Qur'an takatifu.
Maana ni kitabu kisicho na shaka ndani yake.
Nimesoma sana Bible usinione hivi.
Kila nilipokua naisoma nilikua naisoma kwa mashaka mashaka tuu. Haina amani
"Nimesoma sana Bible usinione hivi..." [emoji118] Lunatic

Nyani wa Kale
 
Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.

Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Haya mkuu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mcharo hujamboa aisee? Hivi wewe ulikuwa padri au padre?manake mimi nafahamu kuna padre ndiyo hawa watauwa wa kikatoliki sasa sjaua padri ni watu wanamna gani.
 
Kuna Uzi wake humu alisema anaogopa kukamendea kabinti ka mama mwenye nyumba,anasema binti yupo form 2 na amemzidi miaka zaidi ya kumi.Form 2 ni miaka 15 na yeye anasema kamzidi zaidi ya miaka 10,ina maana ana miaka chini ya 30.Sio padre ila ni mtu anae kashfu dini za watu

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Nimeusoma huo uzi wake nikamdharau sana huyu mjinga
 
Mcharo hujamboa aisee? Hivi wewe ulikuwa padri au padre?manake mimi nafahamu kuna padre ndiyo hawa watauwa wa kikatoliki sasa sjaua padri ni watu wanamna gani.

Nimekula sana vi sadaka vyenu nyie.
Nyumba zangu zote mbili nilijenga kutoka kwenye mifuko yenu.
Nenda Parokia ya Ngokolo Shinyanga kaulize zile fremu mbele ya Kanisa ni za nani.
Mshamba wewe!!!
 
Mbona padri mcharo unanitukana mkuu?...mbona mimi nimekuwa nikikuheshimu kiasi chote hivyo mkuu...au unafikiri mimi sijui kutukana padri mcharo mkuu?
Jibu maswali yangu bana...

Halafu nimekumbuka... sasa kama umeshaachana na hiyo dini ambayo uliona sii ya kweli....mbona bado unatamani sana kuwa kama wao,kuji-present kama wao?mi naona bado unawapenda toka moyoni kiasi kwamba hata hutaki tena kuwa padre wa ngazi ya chini bali unataka kuwa askofu yaani kiongozi wa mapadre.mfano ni hiyo avatar yako ya kikadinali inaonyesha nafsini mwako ungependa kuwa hivyo.
Kwanini usingeweka avatar inayohusiana na imani yako ya sasa?
 
mkuu huyu nimemnasa na ninataka nimuumbue..
Ww jamaa Padri Mcharo hapo ngokolo shinyanga jimboni nimeimba kwaya hapo mwaka jana na ninataka niwatafute baadhii ya walimu wa hapo nikuumbue mjinga mmoja, hilo jina unalojiita Padri Deo huyo ni Paroko wa parokia ya Ibinzamata
 
Kwanini umeamua kuwa mfuasi na mtumwa wa watu wa roma.

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Nimekula sana vi sadaka vyenu nyie.
Nyumba zangu zote mbili nilijenga kutoka kwenye mifuko yenu.
Nenda Parokia ya Ngokolo Shinyanga kaulize zile fremu mbele ya Kanisa ni za nani.
Mshamba wewe!!!
Ulipoishi Shinyanga ulikua teyari padri?
 
Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
Mmmh, hii ni hatari, tena weka mbali na watoto Ustadhi unabet? Wewe unatakiwa kutafuta walimu wakufundishe Quraan na dini kwa ujumla.

Sent from my GT-S7582 using JamiiForums mobile app
 
mkuu huyu nimemnasa na ninataka nimuumbue..
Ww jamaa Padri Mcharo hapo ngokolo shinyanga jimboni nimeimba kwaya hapo mwaka jana na ninataka niwatafute baadhii ya walimu wa hapo nikuumbue mjinga mmoja, hilo jina unalojiita Padri Deo huyo ni Paroko wa parokia ya Ibinzamata
Nimefurahi kuskia soon huyu mzugaji ataumbuka pls fanya hivyo ukiitaji msaaada nambie
 
Mmmh, hii ni hatari, tena weka mbali na watoto Ustadhi unabet? Wewe unatakiwa kutafuta walimu wakufundishe Quraan na dini kwa ujumla.

Sent from my GT-S7582 using JamiiForums mobile app
Padri Mcharo usitake kudhihaki dini za watu. Yaani uhamie dini ya haki inayokuruhusu kubeti na kutukana.
Nashukuru hujaitaja hiyo dini, na naomba usiitaje hadi ujirekebishe kitabia.

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Mbona alishaitaja humuhumu?? Ni Uislamu ndio kahamia naona uko ndio kuna waongo, wazushi, wabetiji na watukanaji
 
Uislamu haufundishi kubeti na kutukana, na kutongoza watoto wa shule.

Nitazungumza na Baba Paroko wa Parokia aliyobatizwa na kupewa Kipaimara.

Waitafute hii kondoo iliyoasi na kuanza kuishi maisha ya kipagani.

Ili irudishwe kundini.

Na kwa kuwa Serikari imepiga marufuku VIROBA nadhani haitachukua mda mrefu kuirudisha hii kondoo toka parini ilikopotelea.

Rubii, hebu fatilia hii mutu.
 
Back
Top Bottom