Tetesi: Kikao cha dharura cha wakuu wa vyuo vyote vikuu nchini kinaendela mjini Dodoma , kuna tatizo kubwa

Kuna kasumba moja vijana wa vyuo wanayo wanapokuja field! Namna wanavyo behave ni kama wengine wote hawajawahi kufika chuo ila wao tu! Ndiomaana ni wachache sana wanakuwa na utayari wa kuuliza au kuomba waelekezwe jambo fulani. Na hii ni kwa karibu fani zote

Ki ukweli system yetu ya elimu inahitaji maboresho makubwa sana! Huwa nawatania wenzangu wanitajie vitu walivyosoma chuo ambavyo hadi sasa bado wanavi-apply kwenye kazi zao ofisini

Chuoni unasoma ma vitu mengi lakini huyatumii yote! Na mwisho wa siku unaweza kuwa uko vizuri kwenye unit mojawapo GPA ikakukosesha kazi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna matatizo ya zaidi ya vyuo vikuu.

Tuna matatizo ya utamaduni.

Tuna matatizo ya maadili.

Ndiyo maana mhadhiri anaweza kuomba rushwa ya ngono kwa mwanafunzi, ili ampe alama za juu.

Na mwenye alama za juu anaweza kufelishwa.

Sasa, mwanafunzi akishajua hilo, atasoma ili apate alama za juu kwa sababu gani?

Hatuna utamaduni wa kuthamini usomi. Ndiyo maana hata wanaoitwa wasomi katika uongozi wanaweka mbele kujipendekeza kwa unafiki kuliko kushauri kisomi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku za nyuma kulikuwa na mashindano ya Coka cola ngazi ya vyuo vikuu Afrika mashariki, kujieleza kwa watanzania ni issue!!! Interview ni shida! Kulikoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifikiri wanajadili boom[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Hao wa form 2 ndo wale wakifika form 4 utasikia matokeo ufaulu umeongezeka hadi 90 +%
 
Hao ni waliopika vyeti ndo hawajui kuandika barua . Kwa wachuo siamini. Mana utandawazi uko nje nje .

Ulie leta uzi ni muongo, mnafki na mzushi leta ushaidi kama unauhakika na icho kikao tuone nami nisikie kinaongelea Nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama wanafunzi hawawezi kuandika hata sentensi moja ya kiingereza, wanafunzi hao wanawezaje kuhitimu?
Nadhani hao wange-disco muhula wa kwanza wa mwaka wa kwanza.
Au unaonaje mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubinashi ni asili yako? Unaishi dunia gani? Suala uwezo wa wahitimu wa miaka hii ni afadhali ukutane na mwanafunzi wa kidato cha tatu wa miaka ya tisini.

Yaani ni shida. Elimu imeporomoka sana

-
 
Ubinashi ni asili yako? Unaishi dunia gani? Suala uwezo wa wahitimu wa miaka hii ni afadhali ukutane na mwanafunzi wa kidato cha tatu wa miaka ya tisini.

Yaani ni shida. Elimu imeporomoka sana

-
Hata kama imepolomoka si kwa kiwango unachokisema . Uwe muelewa basi. Kwamba unataka nikubali wanafunzi wanakuwa vilaza kana kwamba Wana baki na Zero intelligence.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…