Tetesi: Kikao cha dharura cha wakuu wa vyuo vyote vikuu nchini kinaendela mjini Dodoma , kuna tatizo kubwa

Tetesi: Kikao cha dharura cha wakuu wa vyuo vyote vikuu nchini kinaendela mjini Dodoma , kuna tatizo kubwa

Vyuo vyote Tanzania viwekwe kwenye ranking according to University standards. UK vyuo vyote viko ranked kutokana na wanafuzi wanaomaliza kwenye vyuo hivyo ni zoezi endelevu kila mwaka.
 
Hata aliyeleta uzi huu ana shida zake, wakuu wa vyuo ni viongozi wakuu wa siasa kama akina Mkapa, JK, Anna Makinda etc, ambao kiuhalisia ni ceremonial tu. Vice Chancellors ndio wanahusika na usimamizi wa moja kwa moja wa vyuo husika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu sijaongelea wanasiasa, nimeongelea wakuu wa vyuo vikuu vyote.

Tetesi ni kwamba wameambiwa wakae kikao wajadili matatizo.
 
Joyce alikuwa mhadhiri UDSM. Anajua kabisa tatizo la rushwa ya ngono UDSM.
Katika hao wakuu wa vyuo aliowaita, wapo miongoni mwao waliotoa marks ili wapate ngono kwa wanafunzi. Hilo pia analijua fika. Wapo wanaotumia wahadhiri wengine kuwatafutia dogodogo wa kutafuna.Wakifeli marks zinabadilishwa kwa nguvu ya wakubwa.
Wasipoteze hela za umma kufanya vikao wakati tatizo na wahusika wanajulikana.
Hivi hawa wahaziri, sijui wahazili!
Ni madomo zege sana kutongoza'eh?

Kulala na mwanamke kabla haujamlainisha kwa maneno matamu na kumhonga ni ubakaji dhahiri.

Kuna hii sheria ya kuhasiwa ilijadiliwa kipindi fulani ikakosa sapoti, hii ilifaa sana kukomeshea ubazazi huu.

Akiwekwa kwenye18 akabainika, zinaenda kung'olewa anarudi kuendelea na shughuli zake bila hata kumfunga, tuone kama atajitutumua tena kufanya huo ujinga!

Adhabu hiyo pekee ndiyo ingeweza kukomesha ubakaji na udhalilishaji wa hizi rushwa za ngono kuliko hata kifungo, maana hakuna mwanaume rijali anayeweza kukubali kupoteza 'himaya' yake, ni lazima ailinde kwa gharama yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hawa wahaziri, sijui wahazili!
Ni madomo zege sana kutongoza'eh?

Kulala na mwanamke kabla haujamlainisha kwa maneno matamu na kumhonga ni ubakaji dhahiri.

Kuna hii sheria ya kuhasiwa ilijadiliwa kipindi fulani ikakosa sapoti, hii ilifaa sana kukomeshea ubazazi huu.

Akiwekwa kwenye18 akabainika, zinaenda kung'olewa anarudi kuendelea na shughuli zake bila hata kumfunga, tuone kama atajitutumua tena kufanya huo ujinga!

Adhabu hiyo pekee ndiyo ingeweza kukomesha ubakaji na udhalilishaji wa hizi rushwa za ngono kuliko hata kifungo, maana hakuna mwanaume rijali anayeweza kukubali kupoteza 'himaya' yake, ni lazima ailinde kwa gharama yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisheria adhabu inapaswa iweze kutolewa kwa mkosaji yoyote kwa namna iliyo sawa, kwa Tanzania kuna mazingira ambayo mwanamke anaweza kubaka, kama adhabu itakuwa ni kuhasi, je mwanamke ambaye kabaka watamfanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisheria adhabu inapaswa iweze kutolewa kwa mkosaji yoyote kwa namna iliyo sawa, kwa Tanzania kuna mazingira ambayo mwanamke anaweza kubaka, kama adhabu itakuwa ni kuhasi, je mwanamke ambaye kabaka watamfanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke habaki kisheria anakosa lingine... Ubakaji Ni kuingiza uume kwenye uke bila ridhaa
 
Kuna tetesi kuwa kikao cha dharura kimeitishwa mjini Dodoma kinachowakutanisha wakuu wote wa vyuo vikuu nchini.

Hatua ya kuitia kikao hicho imetokana na hali mbaya ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini ambapo mara wanapoajiriwa katika sehemu mbalimbali wanashindwa kufanya kazi ambazo zingine ni rahisi kabisa.

Wahitimu wengine wanashindwa kuandika barua za maombi ya kazi, kushindwa kufanya majaribio mbalimbali na hata pia kushindwa kuandika taarifa kwa kwa lugha ya Kiswahili na pia kwa lugha ya kiingereza.

Waziri wa elimu profesa Ndalichako ameamua kuitisha kikao hicho kujadili kuona wapi kuna tatizo.

Pia kikao hicho kinatarajiwa kujadili hali ya utoaji wa rishwa ya ngono kwa wanafunzi wa kike vyuoni ambapo huadiwa alama za juu ili kufaulu mitihani yao ya mwaka wa mwisho kwa masharti ya kushiriki vitenndo vya ngono na wahadhiri wao.

Ni muhimu taarifa kama hizi zikawekwa kwenye umma ili kuuelimisha kuhusiana na hali halisi ya kudorora kwa kwa kasi ya juu kwa utaji wa elimu ya juu nchini na kuachia wanafunzi khasa wa kike kutegema kutoa miili yao ili kupata alama nzyri.
Hizo barua za amombi ya Kazi wanazianfika kuomba kazi gani?

Magu anaajiri madereva na JKT tu.
Nenda website ya utumishi utakuta kazi zinazotangamwa ni madereva
 
Swala ni mtambuka hili,Kama uko kazini (ajirani) utanielewa zaidi...graduates wetu ni nowmer.
Ni kweli. Wachache sana wanaoonekana kutenda kama wasomi wenye shahada!
Wamesoma lakini hawakuelimika. Ni wazi kuna uchochoro wa kupata hizo shahada wanazoshindwa kuzitendea haki kwenye ajira zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una akili sana.Na chimbuko la msingi ni maslahi duni kabisa anayopewa mwalimu wa msingi na sekondari.Hawa watu wamesahaulika,dharaulika,kila mtu anaenda kuwafokea na kuwatishia.Nimeongea na walimu wengi sana aisee wapo kwenye mgomo baridi.Yani they don't care kuhusu kufundisha vile inavyotakiwa kabisa.Halafu baraza la mitihani linaogopa kufelisha wanafaulisha then haooo chuo.Waendelee kula maisha ila kizazi cha hovyo kinajengwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Kweli kabisa. Elimu ya Tanzania imeporomoka kwa hatua za makusudi hadi kufika hapa ilipo. Mwalimu Nyerere aliporomisha elimu iliyoachwa na mkoloni kwa kuanzisha UPE. Kwenye UPE sifa za kuwa mwalimu wa shule ya msingi ikawa kujua kusoma na kuandika na mafunzo ya muda mfupi. Wakapita akita Mungai na Uharibifu wao Elimu ya Sekondari. Akaja Lowasa na Kulazimisha kila Kata iwe na Shule ya Sekondari. Jambo Jema nila maandalizi. Shule zipo hazina walimu bora wala vyumba vya maabara na stadi za maisha. Elimu ya Sekondari imeongeza idadi ya wahitimu na si ubora. Ugonjwa wa idadi ukahamia vyuo vikuu. Kikwete akajenga chuo kikuu kibwa zaidi Tanzania kule Dodoma. Wenyewe wanakiita UDOM. Uwiano wa wanafunzi kwa mhadhiri mmoja hapo UDOM 200. Yani mwanafunzi anasoma miaka mitatu hajui hata sura ya mhadhiri mmoja. Wahadhiri hawa hawalipwi vizuri hivyo hawana muda wala motisha wa kusahisha kwa umakini mitihani, wala mafunzo kwa vitendo. Unatarajia Nini?

Kuanzia Elimu ya Msingi, ambapo ndipo mizizi ilipo ya Elimu, walimu wanaochaguliwa ni wale waliofeli, ili wasilipwe vizuri, na hivyo hawafanyi kazi ya ualimu, bali kushinda shuleni na watoto wetu. TUNACHEKELEA. Sekondari zetu zina walimu sawa na wanafunzi wao. SIYO MAKOSA YA WALIMU. Walipata Elimu Duni, nao wanfundisha hivyo kwa uduni wao. Wengi huchoka na kuanza KUPENDANA.

Hawa wote ambao wamekosa elimu ya msingi na sekondari iliyobora, ndio wanaingia vyuo vya juu Tanzania. Hawana misingi, hawana ubora, hawana lugha. Wanakutana na mhadhiri ambaye nayo ni zao la mfumo huohuo ulioharibika 1978. Duara hili la uduni wa elimu Tanzania haliwezi kuzalisha Wahitimu Bora kuweza kutenda na kushindana katika soko la Afrika Mashariki na Afrika kwa Ujumla. Usipokuwa kwa wachache waliondolewa hapa nchini tangu elimu ya msingi. Ukiingia Twitter utawajua.

Wanafunzi wenye vipaji na ambao wanafika vyuo vya juu wana hali mbaya ya maisha. Hawana fedha za Kujikimu na Jamii haijali. Wanalala na njaa, kuwa wachafu, na kusinzia mbele ya wahadhiri.

MAPUNGUFU HAYA HAYAWEZI KUMALIZWA KWA KIKAO CHA DHARURA. INAHITAJIKA MIKAKATI YA KUONDOKANA NA DUARA LA ELIMU DUNI. MIMI NA WEWE TUNATAKIWA KUCHUKUA HATUA. HAWA WENYE MIAKA HAMSINI NA ZAIDI MADARAKANI WAMEKWAMA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Maoni ya hawa wadau yaangaliwe.
 
Issue kubwa ni ulegezaji wa masharti ya kwenda vyuo vikuu na utitiri wa vyuo. Wanafunzi wenye ufaulu hafifu waanze na Astashahada au Stashahada ndiyo waende vyuo vikuu. Kuanzia Div.2.11 na Div.3 waende kusoma Diploma kwanza kabla ya kuwa enrolled vyuo vikuu. Div.4 warudie mitihani kupata sifa za kusoma Diploma au kwenda vyuo vikuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna chuo kimoja kikubwa sana mdada ana first class ila majanga mpaka alie na pass anamzidi kwa kazi na uwezo kazin
I can imagine namna hako kadada kalivyo na sura na shape kali, chakula ya wazee teh..teh..
 
Kisheria adhabu inapaswa iweze kutolewa kwa mkosaji yoyote kwa namna iliyo sawa, kwa Tanzania kuna mazingira ambayo mwanamke anaweza kubaka, kama adhabu itakuwa ni kuhasi, je mwanamke ambaye kabaka watamfanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hili jambo huwa linasemwa, lina ukweli wowote?

Mwanamke anabaka! Anabakabakaje kwa mfano?

Ukibadili neno na kusema anashawishi ili kuhiyari tendo ama kwa vitisho, hilo lawezekana kubaka kisaikolojia, lakini siyo kubaka live kama 'baka' tunayoiongelea.

Na ndiyo maana kuanzia mashuleni wasichana kujazwa mimba,pamoja na hii sheria kandamizi ya miaka 30 jela, inayotumika sasahivi, wanawake haiwahusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom