Tetesi: Kikao cha dharura cha wakuu wa vyuo vyote vikuu nchini kinaendela mjini Dodoma , kuna tatizo kubwa

Nakubaliana na wewe 100%. Wakuu wa vyuo hawawezi na sio suruhu na sio tatizo katika hili. Serikali inajikuna yenyewe katika hili. Kuna wanafunzi vyuo vikuu hawawezi kuandika sentensi ya kiingereza. Na shule za kata zimekuja kuwa hovyo kabisa na ndio matunda haya tuyaonayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mkuu wa kaya hawezi kuandika wala kuongea sentensi ya Kiingeza fasaha ilhali ana PHD sembuse hao watoto wa digrii za chupi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tetesi kuwa kikao cha dharura kimeitishwa mjini Dodoma kinachowakutranisha wakuu wote wa vyuo vikuu nchini.

Hatua ya kuitia kikao hicho imetokana na hali mbaya ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini ambapo mara wanapoajiriwa katika sehemu mbalimbali wanashindwa kufanya kazi ambazo zingine ni rahisi kabisa.

Wahitimu wengine wanashindwa kuandika barua za maombi ya kazi, kushindwa kufanya majaribio mbalimbali na hata pia kushindwa kuandika taarifa kwa kwa lugha ya Kiswahili na pia kwa lugha ya kiingereza.

Waziri wa elimu profesa Naalichako ameamua kuitisha kikao hicho kujadili kuona wapi kuna tatizo.

Pia kikao hicho kinatarajiwa kujadili hali ya utoaji wa rishwa ya ngono kwa wanafunzi wa kike vyuoni ambapo huadiwa alama za juu ili kufaulu mitihani yao ya mwaka wa mwisho kwa masharti ya kushiriki vitenndo vya ngono na wahadhiri wao.

Ni muhimu taarifa kama hizi zikawekwa kwenye umma ili kuuelimisha kuhusiana na hali halisi ya kudorora kwa kwa kasi ya juu kwa utaji wa elimu ya juu nchini na kuachia wanafunzi khasa wa kike kutegema kutoa miili yao ili kupata alama nzyri.
Dawa ni kuboresha maslahi hasa waalim wa msingi tofauti na hapo wananchi endeleeni kufurahia vilaza kibao watakaokuwa viongozi wenu baadaye na madhara ya ya hii awamu ya tano hasa upande wa elimu mtayaona tu. Binadamu sio mbuzi au kondoo unatakiwa kumuongoza kwa akili sana sio nguvu😂😂😂😂😂
 
Kuna tetesi kuwa kikao cha dharura kimeitishwa mjini Dodoma kinachowakutranisha wakuu wote wa vyuo vikuu nchini.

Hatua ya kuitia kikao hicho imetokana na hali mbaya ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini ambapo mara wanapoajiriwa katika sehemu mbalimbali wanashindwa kufanya kazi ambazo zingine ni rahisi kabisa.

Wahitimu wengine wanashindwa kuandika barua za maombi ya kazi, kushindwa kufanya majaribio mbalimbali na hata pia kushindwa kuandika taarifa kwa kwa lugha ya Kiswahili na pia kwa lugha ya kiingereza.

Waziri wa elimu profesa Naalichako ameamua kuitisha kikao hicho kujadili kuona wapi kuna tatizo.

Pia kikao hicho kinatarajiwa kujadili hali ya utoaji wa rishwa ya ngono kwa wanafunzi wa kike vyuoni ambapo huadiwa alama za juu ili kufaulu mitihani yao ya mwaka wa mwisho kwa masharti ya kushiriki vitenndo vya ngono na wahadhiri wao.

Ni muhimu taarifa kama hizi zikawekwa kwenye umma ili kuuelimisha kuhusiana na hali halisi ya kudorora kwa kwa kasi ya juu kwa utaji wa elimu ya juu nchini na kuachia wanafunzi khasa wa kike kutegema kutoa miili yao ili kupata alama nzyri.
Hata aliyeleta uzi huu ana shida zake, wakuu wa vyuo ni viongozi wakuu wa siasa kama akina Mkapa, JK, Anna Makinda etc, ambao kiuhalisia ni ceremonial tu. Vice Chancellors ndio wanahusika na usimamizi wa moja kwa moja wa vyuo husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona mna wa pre-empty wajumbe, si mtulie tuone kama kutakua na mabadiliko.

Aidha kama Ni kweli itakua vyema sana kwani Taifa lenye wasomi mbumbumbu ni Taifa hatari sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya elimu kwa TZ inaanzia mbali tangu mtoto anapozaliwa na makuzi yake...

Hao wanaofika vyuo vikuu kama ni ujinga basi wanakuwa wametoka nao huko walikotoka na siku zote mjinga huwa haelimishwi
 
Kuna tetesi kuwa kikao cha dharura kimeitishwa mjini Dodoma kinachowakutranisha wakuu wote wa vyuo vikuu nchini.

Hatua ya kuitia kikao hicho imetokana na hali mbaya ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini ambapo mara wanapoajiriwa katika sehemu mbalimbali wanashindwa kufanya kazi ambazo zingine ni rahisi kabisa.

Wahitimu wengine wanashindwa kuandika barua za maombi ya kazi, kushindwa kufanya majaribio mbalimbali na hata pia kushindwa kuandika taarifa kwa kwa lugha ya Kiswahili na pia kwa lugha ya kiingereza.

Waziri wa elimu profesa Naalichako ameamua kuitisha kikao hicho kujadili kuona wapi kuna tatizo.

Pia kikao hicho kinatarajiwa kujadili hali ya utoaji wa rishwa ya ngono kwa wanafunzi wa kike vyuoni ambapo huadiwa alama za juu ili kufaulu mitihani yao ya mwaka wa mwisho kwa masharti ya kushiriki vitenndo vya ngono na wahadhiri wao.

Ni muhimu taarifa kama hizi zikawekwa kwenye umma ili kuuelimisha kuhusiana na hali halisi ya kudorora kwa kwa kasi ya juu kwa utaji wa elimu ya juu nchini na kuachia wanafunzi khasa wa kike kutegema kutoa miili yao ili kupata alama nzyri.
Kuna chuo kimoja kikubwa sana mdada ana first class ila majanga mpaka alie na pass anamzidi kwa kazi na uwezo kazin
 
• Imarisheni shule za Awali, Msing8 na Sekondari kupata graduant wazuri.

• Boresha ubora wa walimu, wakufunzi na wahadhiri kupata waliobora kabisa.

• Badilisheni muundo na mfumo wa kuwachakata wanachuo katika masomo yao. Punguzeni mihadhara angezeni kujifunza kwa vitendo.

• Sitisheni mkakati wa kila mtanzania kufika chuo kikuu. Boresheni na imarisheni vyuo vyao vya kati. Hii itasaidia kuwa na wanafunzi wachache wahadhiri anaweza kuwamanage kwa kiwango stahili.

•Punguzeni uanzishaji wa kozi ndani ya kozi. Mfano B.A Leadership and Management, kwa nini isiwe module au topic ndani ya B.A Administration?
Hapo ndio penyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mahali walivuruga mitaala hasa ya shule za msingi na sekondari, hivi yule mungai kuna kitu gani alikifanya huko kwenye mitaala. Maana vijana wengi wanaohitimu kuanzia miaka ya hivi karibuni kuanzia certificate, diploma na degree ni bogus kabisa, ukilinganisha na zile diploma za zamani ambao wengi wanastaafu kwa sasa....wizara ya elimu inatakiwa ilifanyie kazi haraka sana.
 
Back
Top Bottom