Tetesi: Kikao cha Dharura namna na watu wa kumjibu Gwajima

Kuna habari nimepata kuwa kuna kikao kimeitishwa leo saa 4 kwa dharura kuangalia namna ya kumjibu au ku deal na Gwajima. Katika maongezi ya simu mtu mmoja alisikika akisema wanahitaji utulivu maana Gwajima anaonekana ana watu nyuma yake. Na yeye huwa si mwoga so wajipange vizuri.

Katika mazungumzo inaonekana pia kuwa kuna ambao wanasema maji yasikorogwe zaidi. Gwajima ameongea machache katika mengi anayoyafahamu so wanapaswa waangalie wasije wakamfanya amwagike zaidi. Ni bora waende naye kwa tahadhari sana.

Kuna wasanii wameanza pigiwa simu na masheikh na baadhi ya wachungaji njaa watoe matamko. Masheikh wamekubali wachungaji watatu wamekataa kuna wawili wamependekezwa hawajapatikana kwa simu. Hawa wanaandaliwa nao waje kujibu.

Vijana wengi wameambiwa sasa waanze kukumbushia ile video Gwajima akipiga show. Gwajima hili aliambiwa akasema siyo issue si ni mwanaume? So kama alikuwa anapiga show maana yake yupo sahihi.

Hali imekuwa mbaya kiasi kikubwa. Fisi wanaoongozwa na Chura wanahangaika, kuwa Gwajima anapewa taarifa na nani. Kila mara huwa anaonekana kuwa mbele yao. Lakini wameanza tafutwa pia watu walioonekana kuwa nyuma yake kwenye press. Hilo ni pendekezo kutoka kwa Mkubwa mmoja wa vyombo vya dola. Kuwa hao waliokuwa nyuma yake wakati wa press nao wafikiwe.

Tutapata majibu kamili baada ya saa 4 . Maana ndo wanapanga kuzungumza. Machawa wengi kwa sasa wanapima upepo. Hawajui waseme au wajibu nini.
Hatamuweza Gwajima, wakae kwa kutulia,mpaka amezungumza badi amajipanga
 
Hata Lucas Mwashambwa jingalao nao wapo Lumumba wamejifungia wanatafakari wamjibu vipi Gwajiboy
 
Tutapata majibu kamili baada ya saa 4 . Maana ndo wanapanga kuzungumza. Machawa wengi kwa sasa wanapima upepo. Hawajui waseme au wajibu nini
Makonda na genge lake wakishirikiana na meko walimshindwa gwaji boy..itakua huyu chura kiziwi wa visiwani?
 
Aaaah huyu si wa kumwesabia. Huyu siyo riziki huwa anakurupuka tu kutegemeana na alilala na nani usiku wa kuamkia siku hiyo. CCM wanamjua pia udhaifu wake... So kuna mambo wanaona watajiweka sana wazi. Huyu na wenzie watatu wamo humu si Riziki.
huyu anakuja na mada ya kububujikwa maachozi na kazi endelevu ya bibi wengine wamsingizia
 
Kuna habari nimepata kuwa kuna kikao kimeitishwa leo saa 4 kwa dharura kuangalia namna ya kumjibu au ku deal na Gwajima. Katika maongezi ya simu mtu mmoja alisikika akisema wanahitaji utulivu maana Gwajima anaonekana ana watu nyuma yake. Na yeye huwa si mwoga so wajipange vizuri.

Katika mazungumzo inaonekana pia kuwa kuna ambao wanasema maji yasikorogwe zaidi. Gwajima ameongea machache katika mengi anayoyafahamu so wanapaswa waangalie wasije wakamfanya amwagike zaidi. Ni bora waende naye kwa tahadhari sana.

Kuna wasanii wameanza pigiwa simu na masheikh na baadhi ya wachungaji njaa watoe matamko. Masheikh wamekubali wachungaji watatu wamekataa kuna wawili wamependekezwa hawajapatikana kwa simu. Hawa wanaandaliwa nao waje kujibu.

Vijana wengi wameambiwa sasa waanze kukumbushia ile video Gwajima akipiga show. Gwajima hili aliambiwa akasema siyo issue si ni mwanaume? So kama alikuwa anapiga show maana yake yupo sahihi.

Hali imekuwa mbaya kiasi kikubwa. Fisi wanaoongozwa na Chura wanahangaika, kuwa Gwajima anapewa taarifa na nani. Kila mara huwa anaonekana kuwa mbele yao. Lakini wameanza tafutwa pia watu walioonekana kuwa nyuma yake kwenye press. Hilo ni pendekezo kutoka kwa Mkubwa mmoja wa vyombo vya dola. Kuwa hao waliokuwa nyuma yake wakati wa press nao wafikiwe.

Tutapata majibu kamili baada ya saa 4 . Maana ndo wanapanga kuzungumza. Machawa wengi kwa sasa wanapima upepo. Hawajui waseme au wajibu nini.
Gwaji boy kwenye 1 na 2.
 
Weekend watu wamepakatwa .... Tumebaki sisi wanaume single tu humu tunatafuta tafuta wanawake ambao nao ni single. Hamjambo lakini? Gwajima jana kapiga pipe kinoma. Mkono wake wa baunsa. Watu wameamka na maumivu bado. Mpaka wapoe
🤣🤣🤣🙌🙌
3 bilq
 
Nawaapongeza japo angalau wameweza kukaa kikao cha kumjibu kwa akili...japo najua watahemka na wataharibu zaidi ...kama hawaamini wamuulize Bashite anamjua vizur
 
Gwajima ni mtu mdogo sana tena zaidi ya Martha Karua. Sasa kama Martha Karua kaicha nchi unshaken, unafikiri Gwajima ataifanya chochote! Subiri uone!
Ufalme uliofitinika...
Chama kinamfia.
Atumie mbinu ya Kikwete apone. Lasivyo atakwenda na maji
 
Gwajima kichwa kingine, Lucas amejaribu kujibu, annafuata, anaandika,anafuta, mwisho akaona ahairishe kuiandika ujinga.

Gwajima kaziba mianya yote ya kufanya yeyote kupata chochote Cha kumnyoshea kidole!

Ni shida!
 
Ufalme uliofitinika...
Chama kinamfia.
Atumie mbinu ya Kikwete apone. Lasivyo atakwenda na maji
Mwaka 1997 iliwahi kutoka kauli kuwa chama kitamfia Mzee Che Nkapa. Kwenye kipindi Mzee Kikwete aliposema chama "kijivue gamba" wavimba macho walisema chama kitamfia. Alipoingia Mwamba kabisa Mwamba Magufuli wavimba macho walisema tena, "huyu akijui chama kitamfia" , lakini mpaka anarudi kwa Muumba chama kilikuwa imara zaidi ya kipindi cha Mwl. Nyerere. Ahahahahaha!
Kwa kauli hii ya leo, wala hatushtuki. Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mama Samia Suluhu Hassan ni Mwamba kweri kweri na Kazi Inaendelea!
 
Chama imara kinawatuma askari kubaka na kudhalilisha wanaharakati ? Chama kinachochea uadui na nchi zingine ...chama kinaua na kuteka sababu ya madaraka? Chama kimeshuka hadhi Hadi kinakaa kikao Cha kumjibu Gwajima..
Mshauri mama yako akae na wazee wenye heshima na adabu wa ccm wamfundishe namna ya kuongoza nchi ama la sivyo awaambie watafute mtu mwingine, ama la sivyo anakwrnda na maji ...na wazee wenye ccm yao hawatataka Hilo litokee
 
Off point in question.
Anyway, CCM haina uhusiano mbaya na chama chochote cha siasa nje ya nchi. Kama kipo kitaje.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania HAINA uhusiano wowote mbaya na Serikali yoyote ya jirani au kwingine kokote duniani. Kama ipo itaje.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya CCM juzi, jana na leo ni imara juzi, jana, leo na kesho!

Kelele pigeni maana hata chura akishiba maji hupiga kelele na habadirishi chochote!
 
Back
Top Bottom