Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
- Thread starter
- #101
Cheki na Mwangi
Mwangi kasema unataka mume wa kudumu naye.
Cheki na Mwangi
Unataka nipande juu kidogo?Too low
Huna hoja
We jamaaaaa!!!!!!!!Unataka nipande juu kidogo?
Munara ya babeli inakorogeka kwa kasi ya sixgKuna habari nimepata kuwa kuna kikao kimeitishwa leo saa 4 kwa dharura kuangalia namna ya kumjibu au ku deal na Gwajima. Katika maongezi ya simu mtu mmoja alisikika akisema wanahitaji utulivu maana Gwajima anaonekana ana watu nyuma yake. Na yeye huwa si mwoga so wajipange vizuri.
Katika mazungumzo inaonekana pia kuwa kuna ambao wanasema maji yasikorogwe zaidi. Gwajima ameongea machache katika mengi anayoyafahamu so wanapaswa waangalie wasije wakamfanya amwagike zaidi. Ni bora waende naye kwa tahadhari sana.
Kuna wasanii wameanza pigiwa simu na masheikh na baadhi ya wachungaji njaa watoe matamko. Masheikh wamekubali wachungaji watatu wamekataa kuna wawili wamependekezwa hawajapatikana kwa simu. Hawa wanaandaliwa nao waje kujibu.
Vijana wengi wameambiwa sasa waanze kukumbushia ile video Gwajima akipiga show. Gwajima hili aliambiwa akasema siyo issue si ni mwanaume? So kama alikuwa anapiga show maana yake yupo sahihi.
Hali imekuwa mbaya kiasi kikubwa. Fisi wanaoongozwa na Chura wanahangaika, kuwa Gwajima anapewa taarifa na nani. Kila mara huwa anaonekana kuwa mbele yao. Lakini wameanza tafutwa pia watu walioonekana kuwa nyuma yake kwenye press. Hilo ni pendekezo kutoka kwa Mkubwa mmoja wa vyombo vya dola. Kuwa hao waliokuwa nyuma yake wakati wa press nao wafikiwe.
Tutapata majibu kamili baada ya saa 4 . Maana ndo wanapanga kuzungumza. Machawa wengi kwa sasa wanapima upepo. Hawajui waseme au wajibu nini.
Mushambaa,atakuja kumwaga upupu tu humu.Kwani Lucas Mwashambwa ametumwa na kikao gani kumjibu huyo Askofu Gwajima Siku ya Jumatatu saa 5:00 asubuhi? 🐼
Ndo kawaida ya upvu kadri unavyotaka kuuficha ndivyo unavyozidi kutenda maovu zaidi.Kadri watakavyomjivu ndipo atakapozidi kufungua Vault/Turbo.
hii tabia kairithi toka sehemu fulani, huu mtindo si mzuriSAMIA anacho jua ni kuumiza na kuua akiamini atakuwa salama
Mnatuumiza bongo zetu kufikiria mambo!Kabla ya Uchaguzi bwana KOROGWE anaweza akapangiwa majukumu mengine, chini ya uongozi wake hasa kuelekea Uchaguzi siri zinavuja sana
Kuna vitu vinachekesha ukute wanataka kina baba levo wamjibu gwaji boy. Aka rashidi watavamia mtumbwi wa vibwengoKuna habari nimepata kuwa kuna kikao kimeitishwa leo saa 4 kwa dharura kuangalia namna ya kumjibu au ku deal na Gwajima. Katika maongezi ya simu mtu mmoja alisikika akisema wanahitaji utulivu maana Gwajima anaonekana ana watu nyuma yake. Na yeye huwa si mwoga so wajipange vizuri.
Katika mazungumzo inaonekana pia kuwa kuna ambao wanasema maji yasikorogwe zaidi. Gwajima ameongea machache katika mengi anayoyafahamu so wanapaswa waangalie wasije wakamfanya amwagike zaidi. Ni bora waende naye kwa tahadhari sana.
Kuna wasanii wameanza pigiwa simu na masheikh na baadhi ya wachungaji njaa watoe matamko. Masheikh wamekubali wachungaji watatu wamekataa kuna wawili wamependekezwa hawajapatikana kwa simu. Hawa wanaandaliwa nao waje kujibu.
Vijana wengi wameambiwa sasa waanze kukumbushia ile video Gwajima akipiga show. Gwajima hili aliambiwa akasema siyo issue si ni mwanaume? So kama alikuwa anapiga show maana yake yupo sahihi.
Hali imekuwa mbaya kiasi kikubwa. Fisi wanaoongozwa na Chura wanahangaika, kuwa Gwajima anapewa taarifa na nani. Kila mara huwa anaonekana kuwa mbele yao. Lakini wameanza tafutwa pia watu walioonekana kuwa nyuma yake kwenye press. Hilo ni pendekezo kutoka kwa Mkubwa mmoja wa vyombo vya dola. Kuwa hao waliokuwa nyuma yake wakati wa press nao wafikiwe.
Tutapata majibu kamili baada ya saa 4 . Maana ndo wanapanga kuzungumza. Machawa wengi kwa sasa wanapima upepo. Hawajui waseme au wajibu nini.
This utekaji saga ,My instinct is telling me BASHITE is mkuu wa hicho kikosi because since amerudi kwa serikali ndio utekaji kumetaradadi.Kikubwa ana watoto karma is real
Kwani BETINA wa bungeni yeye anasemaje? Au Bado kashikilia misimamo wa kutowajadili wasiojulikana Kwa kuwa hawajulikani?
Kesho komredi Lucas Mwashambwa atatoa ufafanuzi wa aliyoyasema Gwajima. Ufafanuzi wake ndo utakuwa msimamo wa JFKuna habari nimepata kuwa kuna kikao kimeitishwa leo saa 4 kwa dharura kuangalia namna ya kumjibu au ku deal na Gwajima. Katika maongezi ya simu mtu mmoja alisikika akisema wanahitaji utulivu maana Gwajima anaonekana ana watu nyuma yake. Na yeye huwa si mwoga so wajipange vizuri.
Katika mazungumzo inaonekana pia kuwa kuna ambao wanasema maji yasikorogwe zaidi. Gwajima ameongea machache katika mengi anayoyafahamu so wanapaswa waangalie wasije wakamfanya amwagike zaidi. Ni bora waende naye kwa tahadhari sana.
Kuna wasanii wameanza pigiwa simu na masheikh na baadhi ya wachungaji njaa watoe matamko. Masheikh wamekubali wachungaji watatu wamekataa kuna wawili wamependekezwa hawajapatikana kwa simu. Hawa wanaandaliwa nao waje kujibu.
Vijana wengi wameambiwa sasa waanze kukumbushia ile video Gwajima akipiga show. Gwajima hili aliambiwa akasema siyo issue si ni mwanaume? So kama alikuwa anapiga show maana yake yupo sahihi.
Hali imekuwa mbaya kiasi kikubwa. Fisi wanaoongozwa na Chura wanahangaika, kuwa Gwajima anapewa taarifa na nani. Kila mara huwa anaonekana kuwa mbele yao. Lakini wameanza tafutwa pia watu walioonekana kuwa nyuma yake kwenye press. Hilo ni pendekezo kutoka kwa Mkubwa mmoja wa vyombo vya dola. Kuwa hao waliokuwa nyuma yake wakati wa press nao wafikiwe.
Tutapata majibu kamili baada ya saa 4 . Maana ndo wanapanga kuzungumza. Machawa wengi kwa sasa wanapima upepo. Hawajui waseme au wajibu nini.
Kesho komredi Lucas Mwashambwa atatoa ufafanuzi wa aliyoyasema Gwajima. Ufafanuzi wake ndo utakuwa msimamo wa JF
Ipo siku kila kitu kitakuwa wazi huyo bashite wala hahusikiHiyo instinct yako ndiyo ukweli wenyewe.
Bicho kikundi kipo chini ya Bashite. Ndiyo maana hata walipomteka Sativa, kabla ya kwenda kumtupa kwenye hifadhi ya wanyama ya Katavi, walimpeleka kwanza kwa Bashite, Arusha.
Atakuwa Mwijaku maana hii code ni ngumu kuifungua.Mnatuumiza bongo zetu kufikiria mambo!
KOROGWE ndiyo nani tena?
Kumbe fake Ids hazitusaidii sana kujiexpress!
8 + 4 = 12Kuna habari nimepata kuwa kuna kikao kimeitishwa leo saa 4 kwa dharura kuangalia namna ya kumjibu au ku deal na Gwajima. Katika maongezi ya simu mtu mmoja alisikika akisema wanahitaji utulivu maana Gwajima anaonekana ana watu nyuma yake. Na yeye huwa si mwoga so wajipange vizuri.
Katika mazungumzo inaonekana pia kuwa kuna ambao wanasema maji yasikorogwe zaidi. Gwajima ameongea machache katika mengi anayoyafahamu so wanapaswa waangalie wasije wakamfanya amwagike zaidi. Ni bora waende naye kwa tahadhari sana.
Kuna wasanii wameanza pigiwa simu na masheikh na baadhi ya wachungaji njaa watoe matamko. Masheikh wamekubali wachungaji watatu wamekataa kuna wawili wamependekezwa hawajapatikana kwa simu. Hawa wanaandaliwa nao waje kujibu.
Vijana wengi wameambiwa sasa waanze kukumbushia ile video Gwajima akipiga show. Gwajima hili aliambiwa akasema siyo issue si ni mwanaume? So kama alikuwa anapiga show maana yake yupo sahihi.
Hali imekuwa mbaya kiasi kikubwa. Fisi wanaoongozwa na Chura wanahangaika, kuwa Gwajima anapewa taarifa na nani. Kila mara huwa anaonekana kuwa mbele yao. Lakini wameanza tafutwa pia watu walioonekana kuwa nyuma yake kwenye press. Hilo ni pendekezo kutoka kwa Mkubwa mmoja wa vyombo vya dola. Kuwa hao waliokuwa nyuma yake wakati wa press nao wafikiwe.
Tutapata majibu kamili baada ya saa 4 . Maana ndo wanapanga kuzungumza. Machawa wengi kwa sasa wanapima upepo. Hawajui waseme au wajibu nini.
Duh,Kuna habari nimepata kuwa kuna kikao kimeitishwa leo saa 4 kwa dharura kuangalia namna ya kumjibu au ku deal na Gwajima. Katika maongezi ya simu mtu mmoja alisikika akisema wanahitaji utulivu maana Gwajima anaonekana ana watu nyuma yake. Na yeye huwa si mwoga so wajipange vizuri.