Tetesi: Kikao cha Dharura namna na watu wa kumjibu Gwajima

Gwajima anajifanya presidential material ila ni hatari maana anajiamini kupita kiasi. sio mtu msomi ila uaskofu wa kujipa na Phd ya kununua SA inamfanya kudhani anaweza kua na uwezo kuendesha nchi. Sijamsikiliza hotuba yake kwani hua simchukulii serious. Mtu yeyeto anayedai ana uwezo eti kufufua wafu kama Gwajima kwangu ni mtu muongo na mlaghai wa kiwango cha juu kabisa.
 
Chama imara kinawatuma askari kubaka na kudhalilisha wanaharakati ? Chama kinachochea uadui na nchi zingine ...chama kinaua na kuteka sababu ya madaraka? Chama kimeshuka hadhi Hadi kinakaa kikao Cha kumjibu Gwajima..
Mshauri mama yako akae na wazee wenye heshima na adabu wa ccm wamfundishe namna ya kuongoza nchi ama la sivyo arushe taulo sio vibaya kusema umeshindwa...pesa ya umma haitafunwi ...you will not live to enjoy it.
 
Hotuba yake ya zaidi ya 45minutes yenye kete za kutosha zimesukumwa haya ndio majibu yenu kwake? 😂😂
 
watakachofanya pekee ni kuleta ile clip chafu basi, ambayo kwa mwanaume wala si shida. kama alitenda dhambi ameshapatana na Mungu, ninyi mnaoendelea kuishikilia hamna hata uwezo kuisafisha, ila Mungu. yote katika yote ikitokea mtu anapinga wizi, utekaji na uuaji, akagombea urais, watanzania wote watampa kura kwa sababu wamechoka na ukatili huu. mdude yupo wapi, wale vijana wa chadema wapo wapi, wamekosa kosa kubwa kiasi gani hadi wapotezwe, nani yupo nyuma yake, kwa nini kila bashite na kina waziri wakiwa na madaraka utekaju huwa unakithiri? ifike mahali icho kikundi kijulikane na kifutwe ili watanzania tuishi kwa furaha.
 
Ebu nihabarishe baada ya kukaa chama kimemjibuje? Ukinipa majibu wewe utakuwa "mentor" wangu JF!
 

Wote waliomsikiliza na wenye open mind wanasema kaongea kwa akili. Na anajiamini kuliko matoy mengine ambayo mmeyafanya kuwa viongozi. Ana exposure siyo kilaza au mshamba kama wengine. Ana PHD ya ukweli acha hizi za kupewa wanasiasa vilaza ambao hawawezi hata chambua mambo.

Mi sijui huo uwezo mwingine naangalia alichoongea jana ndo cha muhimu sana. Na watu wenye akili wanajadili hoja. Kawashika makalio.
 
Jamani Tanzania kuna wasomi kweli?
 
Pale SERENA Hotel kuna CCTV cameras, wale walioenda kuteka foreign lawyers kwenda kuwatesa na kuwadhalilisha utu wao mbona hakuna anayeulizia footages za hilo tukio ili tupate starting point?
Pamoja na kwamba it’s confirmed walipelekwa kwanza Central Police Station ila obviously ni ile ‘special squad’ ya WASIOJULIKANA ndani ya Polisi, TISS na vikosi vingine ila nahisi kwa sasa zile footages zimeshafutwa kwenye severs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…